Bidhaa za Kiume za Oriflame

Latrice

JF-Expert Member
Jan 30, 2020
2,393
2,359
Habarini nyote nawaletea salamu changamfu kabisa kutoka West Monroe, USA.

Wanaume wengi tunakumbana na changamoto ya kutokewa vipele tunaponyoa ndevu na viarufu flani hivi.

Kuna hizi bidhaa za Oriflame ambazo nimeanza kuzitumia toka mwaka 2018 aisee salute kwao zimenipa matokeo chanya sana.

Huu ni mpangilio wa bei zake, mimi nanunuaga seti kwa elfu 71 North for men na Sabuni moja moja.
36532328_209048276470190_8867727793895505920_n.jpg

Kwenye hii picha ni vitu ambavyo niko navyo.
Kuna
Hair n body cream.
Shaving foam.

Deo-spray.
26070849_392814491160887_1033978625931608064_n.jpg

Kwa wenye rangi mbili yani kifuani na mikononi mweupe, sura na shingo nyeusi kama Rais Magufuli wakitumia hii wanakuwa na color moja ya chocolate hivi.
Hapa Rais Magufuli alikuwa anasalimiana na vijana wa JKT

Kwa ambao mmewahi kupaka Nivea for Men hii ni zaidi ya hiyo.

Note; Sifanyi kazi Oriflame.
 
Hizi shaving foam naonagankama uzushi tu. Nimejaribu kila aina ila nikinyoa ndevu baada ya masaa kadhaa nakuwa kama mgonjwa wa tete kuwanga.
Boss fanya hivi.
Tumia mashine nyoa ukimaliza paka poda kama dakika tatu nawa paka North for men au kuna mafuta yao yana rangi ya chocolate nimeyasahau jina paka utakuja kunishukuru.

Kama upatikanaji wake utakuwa mgumu nunua nivea usiitie maji itie glycerin tu alafu paka, pia hakikisha unaponyoa mashine haikukatikati
 
Nikitumia mashine hata bila hayo madude nakuwa fresh. Nimejaribu kutafut mashine nzuri ya betri nimekosa. Jiulize saloon gani utaenda kunyoa nywele zinginezo ( wakubwa tu )
 
Zabron Hamis pia mkuu unaweza kutumia FACIAL CLEANSER ukawa unapaka usoni hadi shingoni kila unapoamka na unapolala.

Hapo juu kuna hiyo sabuni ya North for men ndo nayoitumia ni nzuri inanisaidia mimi nayenyoa kila siku kwa sababu kazi zangu haziniruhusu kuwa na ndevu.
 
Nikitumia mashine hata bila hayo madude nakuwa fresh. Nimejaribu kutafut mashine nzuri ya betri nimekosa. Jiulize saloon gani utaenda kunyoa nywele zinginezo ( wakubwa tu )
Nunua yako binafsi zinaanzia 30-65 elfu ila usipopaka mafuta kidevu kinakomaa kichizi na matokee ya kidevu kukomaa ni mapele yasiyoisha kidevuni yani yanatokea na yanabaki.

Ndio maana nakwambia ukinyoa usipake tu poda au kuacha bila kupaka chochote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom