Nataka kufuga dreadlocks je kunakuwaga na mafuta ya kusokotea au hadi uende saloon?

majid salim

Member
Dec 10, 2019
25
7
Wakuu mpo salama . nilikuwa nahitaji ushauri wenu nilikuwa nataka kufuga dreadlocks je kunakuwaga na mafuta ya kusokotea au hadi uende saloon na ukienda saloon inakuwaga ni bei gani kutengeneza kama so lazima sana kwenda saloon kwa mtu ambaye anajuwa mafuta ya kusokotea naomba aniambiye maana nazitamani San naombeni ushauri wenu tafadhali
 
Mafuta salon yapo ila ukitaka yako ni vyema zaidi hata ww unaweza jifanya om,

Kama unazo tayari unaenda ku repair ni sh 10000, kutengeneza na ku style simple,

Kama hauna ndo unaanza salon nyingi wanaanzisha kwa sh elfu 40000
 
Ndo naanza mm sijawah kufanya hivyo
 
Mafuta yamejaa madukani, yana kopo jeupe na mfuniko wa kijani, picha ya rasta.

Kwenda saloon ni muhimu, bila hivyo hazitavutia na una hatari ya kuwa rafu sn, dread zinahitaji matunzo.

Mara ya kwanza hakikisha unaenda kwa mtengenezaji mzuri, sababu ukianza vibaya zitakusumbua sn. La mwisho unahitaji kuwa mvumilivu zinachukua kama miez 6-8 kujifunga/lock
 
Back
Top Bottom