Kwa afya ya choo chako ... pitia hapa

Soyuncu

Senior Member
Nov 20, 2019
193
224
kama Unapokaa Au kwa rafiki zako Au jilani kuna ma sinki ya choo yaliyoshindikana kwa uchafu.. Kiboko yao ipo.

Tafuta dawa inaitwa NEW HARPIC nais haizid elfu 13. Kutokana na location uliyopo..

Angalizo
Usitumie bila ya gloves. Au kitu chochote kitakacholinda viganja vyako.. mwaga drop( matone) kadhaa za dawa kwnye sink lako.. Alafu iache kwa dkka 20 baada ya apo.. Safisha

Hata kama sink lilikua na uchafu kiasi gani. Rangi yake inaludi linakua jipya kama umelitoa Leo dukani

Tafuta NEW HARPIC alafu njo utoe ushuhuda apa haiitaji muda mpka changes zitokeee siku hio hio sink linaludi rangi yake ya zaman.. ( nyeupe)

NB. Dawa ni Kali so usitumie bila ya gloves Au kitu chochote cha Kulinda viganja vyako

Kama Una njia nyingine Au dawa zinazosafisha vizul ma sink ya choo changia mchango wako wadau waongezee maarifa

Usichukulie poa nyumba ni choo..

Nawasilisha by Caglar SOYUNCU..
IMG_20200305_121038_023~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibi yangu aliniambia majivu ya mkaa ni dawa nzuri sana ya kusugulia masinki ya chooni.
 
Mpaka Sasa Hivi Una Thread Tele Jamiiforums.com
Bado Unaandika Vizuli Badala Kuandika Kwa Usahihi Vizuri!!! Umeelekezwa Kwenye Thread Yako Bado Una Kichwa Kizito
 
Mpaka Sasa Hivi Una Thread Tele Jamiiforums.com
Bado Unaandika Vizuli Badala Kuandika Kwa Usahihi Vizuri!!! Umeelekezwa Kwenye Thread Yako Bado Una Kichwa Kizito
Huo mimi huwa nauchukulia kama ulemavu na watu wa namna hiyo huwa nawaweka katika zile special groups.
 
Kawaida chief.. Ukielewa inatosha
Mpaka Sasa Hivi Una Thread Tele Jamiiforums.com
Bado Unaandika Vizuli Badala Kuandika Kwa Usahihi Vizuri!!! Umeelekezwa Kwenye Thread Yako Bado Una Kichwa Kizito
 
Back
Top Bottom