Huwa nikipishana na baadhi ya wanawake nywele zao hutoa harufu kali.
Hujiuliza, kitandani mnalalaje na waume zenu?
Hii haichangii mwanaume kuchepuka kweli?
Ni wachache mno, wengi wao ni mkumbo tu na kufuata upepo wa fasheni. Elewa hakuna kitu kwa ajili ya kila mtu, chagua chako na ukubali. Kama ilivyo kwa wanaume, sio wote watavaa pensi.
Sketi na...
Habari ndugu zangu,
Naamini mko salama na bado mnaendelea kupigana na maisha ya sasa na hata kwa baadaye.
Kama kichwa cha habari kinavyo sema kuhusu majadiliano kwa pamoja kila mwenye wazo...
Wachambuzi wa mambo ya saikolojia wanasema kwamba kwa kuchukua tai na kulivaa ile rangi ndiyo itakayoweza kupeleka ujumbe wa wewe unataka nini au unataka watu wakutambue kwa namna gani.
Wakati...
Yani unakuta mkaka mzuri msafiii kapiga raba zake nyeupe na jeans black na white t-shirt isiyo na mbwembwe halafu amepiga manukato ya kutosha kwanini asipendwe hasa.
Sio mkaka unanuka mijasho all...
Wana Jf habari za muda huu,
Bhana nimesagula viwalo vyangu mnadani ila kila nikivifua harufu ya mtumba haiishi.
Nimetumia sabuni kama aerial, Omo, jamaa ila wapi kitu hakitoki.
Naombeni...
kuna vitu kama mwanamke naviangalia na naishia kusikitika.. hivi inakuaje hili wimbi la wanaume kwa kasi ya ajabu kujiremba? hivi mwanaume kujichubua ni ili awe mrembo au? wameenda mbali mpaka...
KWA UFUPI
Hata hivyo, wataalamu wa afya wanadai kuwa dawa hizo zinasababisha uvimbe kwenye kizazi kutokana na kemikali za dawa hizo ambazo huingia mwilini kupitia majeraha au ngozi wakati wa...
Halow,
Mimi ni kijana wa miaka 21. Nataka nianze kupiga gym but kuna tetesi nazipata kuwa kupiga gym katika umri mdogo kuna madhara.
Naombeni ushauri but napenda sana kupiga gym.
Habarini!
Kuna hili suala la mavazi hasa kwenye majiji, manispaa na miji ya hapa Tanzania na nchi karibu zote duniani. Vijana wengi sasa wakitembea barabarani ili ujue jinsia zao basi itakubidi...
`Nimekaa na kuwaza nikaona si vibaya kukumbushana na kuelimishana juu ya kutunza nguo zetu za ndani,
~Inajulikana kuwa nguo za ndani ni muhimu kuvaa zile zinazonyonya jasho kwa wepesi zenye...
Kuna kaniletea zawadi nipake haya mafuta eti uso wangu umetokewa vichunusi,,jamani chupa kubwa mi ntaimaliza lini sasa ,halaf najiuliza haya sio mafuta ya kupikia haya kweli
Hayana harufu,halaf...
Nina baadhi ya marafiki hunishangaa sana eti kwanini sivai nguo ya ndani kama wengine.
Mimi huwajibu kirahisi kabisa ,kuwa Mimi ni MTU huru kwa hiyo siwezi kuvaa ,MTU ukiwa uko huru ni lazima...
Aiseeeee
Nilimsotea sana huyu mrembo nikampania sana maana kimuonekano ni anavutia haswa
Basi nikaenda nae hadi akawa sawa
Ajabu na kitu iliyonikata stim ni huyu demu kuwa na kingozi ligumu...
Wadau wa Jamii Forums habari zenu, nimekuja kwenu nikiwa na maswali ila pia nitapenda kupokea ushauri kuhusu chapa tajwa hapo juu.
Nimekua nikiona tu hizi bidhaa za hii kampuni ya njiwa (Dove)...
Jamani hili halipo kwa ma barmaid au Dada zetu wanaotoka familia duni. Lipo kwa Dada zetu hasa wanaofanya kazi katika makampuni makubwa na wana nafasi ambazo pasi shaka zinawaingizia kipato...
Je umealikwa kwenye sherehe na hujui uvae nini, usijali blog hii ipo kwa ajili yako itahakikisha unapata kitu cha kuvaa na ukatokelezea sana. watu wengi sana hushindwa kwenda kwenye sherehe...
Wadau.
Napenda Sana vazi la suti.
Nimeweka picha hapa chini kwani nimependezwa Sana na suti alovaa huyo Mdau.
Naomba jua.
1 Gharama za suti hiyo?
2. Je Ni ya kushona au ya Dukani?
3. Je rangi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.