Haya sio mafuta ya kupikia kweli?

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
49,654
68,613
Kuna kaniletea zawadi nipake haya mafuta eti uso wangu umetokewa vichunusi,,jamani chupa kubwa mi ntaimaliza lini sasa ,halaf najiuliza haya sio mafuta ya kupikia haya kweli
Hayana harufu,halaf mi napenda vitu vya kunukia hivi ,,hebu nishaurini jamani haya mafuta
IMG_20171211_162245.jpg
hiyo picha mwenye kuyaelewa aniambie au mi niyapikie tu
 
Extra virgin olive oil penetrates deep into the skin on yourface, providing needed moisture as well as a shield to protect your skin, keeping it smooth, according to the Olive OilSource website. Olive oil's antioxidants--vitamins A and E--can help repair skin damage from sun exposure, cigarette smoke and pollutants.

Benefits of Using Extra Virgin Olive Oil on the Face
Andika basi kwa kiswahili sikusoma mie
 
Unaweza kutumia kwa yote ila nijuavyo wengi hutumia kupikia.

Kuna kaniletea zawadi nipake haya mafuta eti uso wangu umetokewa vichunusi,,jamani chupa kubwa mi ntaimaliza lini sasa ,halaf najiuliza haya sio mafuta ya kupikia haya kweli
Hayana harufu,halaf mi napenda vitu vya kunukia hivi ,,hebu nishaurini jamani haya mafuta View attachment 648624 hiyo picha mwenye kuyaelewa aniambie au mi niyapikie tu
 
Dada,
Hayo ni mafuta mazuri sana kwa ngozi na nywele. Ni mafuta bora kuliko mafuta ya aina yoyote unayoyajua chini ya jua kwa ajili ya kuitengeneza ngozi na nywele na ukawa na ngozi inayovutia daima na kila mtu akabaki kuishangaa ngozi yako ilivyo nzuri. Kuhusu kunukia hayo mafuta hayana harufu mbaya, kwahiyo wewe baada ya kupaka hayo mafuta unaweza ukajipulizia perfume ili unukie kama unataka kunukia.
Pia hayo mafuta unaweza ukapikia ni mazuri pia kwa kupikia.
Ila watu wengi wenye ufahamu juu ya mafuta za mizeituni wanatumia kujipaka kwa kupenda kuwa na ngozi Bora na nzuri isiyo na makovu wala chunusi au mabaka mabaka.
Ni mafuta ghari sana kutokana na ubora wake, na kwakuwa ni mafuta ya mmea halisi mzeituni.
Mimi nakushauri penda kutumia mafuta hayo utakuwa mzuri zaidi wa ngozi na mengineyo, hachana na mafuta yote uliyokuwa unayatumia hata lotion.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom