jinsi ya kuvaa kwenye harusi

simonereneus

Member
Sep 21, 2018
11
10
Je umealikwa kwenye sherehe na hujui uvae nini, usijali blog hii ipo kwa ajili yako itahakikisha unapata kitu cha kuvaa na ukatokelezea sana. watu wengi sana hushindwa kwenda kwenye sherehe kutokana na kukos cha kuvaa, kama unavyojua sherehe hukutanisha watu mbalimbali hivyo basi ni vyema ukapendeza ili kuvutia watu wengine pia. leo hii nimekuandalia makala maalum kwa ajili yako wewe ili uweze kupendeza pindi uendapo kwenye harusi. ukienda harusini hakikisha unavaa kati ya hivi vifuatavyo.

SUTI
Suti ni vazi la heshima ambalo halijawahi kupitwa na wakati sasa ili uweze kupendeza na kuonekana mtu mwenye heshima ni vyema ukavaa suti. unaweza ukavaa suti na shati ama ukaamua kuvalia na pullneck utakuwa umetokelezea kinoma. Ila epuka kuvaa suti huku ukiwa umechanganya rangi nyingi utaboa ni vyema ukavaa simple and smart utatisha kinoma

ATIKU

Najua utashangaa hili jina ila ndo hivyo ni vazi la asili la kinigeria ambalo ni zuri sana kama ukilivaa utakuwa umetokeleza sana halimchagui mtu

SHATI NA SURUALI
Hili ni vazi ambalo limezoeleka sana kwa sababu limekuwa zikivaliwa mara kwa mara ila kama unaenda kwenye harusi hakikisha unavaa shati ambalo si kubwa sana utakuwa kituko vaa shati ambalo linakukaa kwenye mwili na suruali isiwe pana sana itapendeza ukivaa na tai

MIXED SUIT
Hii ni suti ila unaweza ukavaa cardet au jeans, shati na koti la suti na ndo maana inaitwa mixed suit. utapendeza sana kiatu unaweza ukavaa moka au raba

MUHIMU
Epuka kuvaa jeans na t-shirt, pensi,makubazi vitu hivyo vitakushushia heshima na utaonekana muuni sana I hope tumeelewana
 
Kwa hiyo beib we unaweza kuvaa makubaz harusini? Akii siendi na wewe
Hahahaha yaan Babe baada ya kusoma comment yako nikarudi kwenye kichwa cha habari kumbe ni Vazi la Harusini!! lol nilikua nina usingizi kwa kweli.
 
Je umealikwa kwenye sherehe na hujui uvae nini, usijali blog hii ipo kwa ajili yako itahakikisha unapata kitu cha kuvaa na ukatokelezea sana. watu wengi sana hushindwa kwenda kwenye sherehe kutokana na kukos cha kuvaa, kama unavyojua sherehe hukutanisha watu mbalimbali hivyo basi ni vyema ukapendeza ili kuvutia watu wengine pia. leo hii nimekuandalia makala maalum kwa ajili yako wewe ili uweze kupendeza pindi uendapo kwenye harusi. ukienda harusini hakikisha unavaa kati ya hivi vifuatavyo.

SUTI
Suti ni vazi la heshima ambalo halijawahi kupitwa na wakati sasa ili uweze kupendeza na kuonekana mtu mwenye heshima ni vyema ukavaa suti. unaweza ukavaa suti na shati ama ukaamua kuvalia na pullneck utakuwa umetokelezea kinoma. Ila epuka kuvaa suti huku ukiwa umechanganya rangi nyingi utaboa ni vyema ukavaa simple and smart utatisha kinoma

ATIKU
Najua utashangaa hili jina ila ndo hivyo ni vazi la asili la kinigeria ambalo ni zuri sana kama ukilivaa utakuwa umetokeleza sana halimchagui mtu

SHATI NA SURUALI
Hili ni vazi ambalo limezoeleka sana kwa sababu limekuwa zikivaliwa mara kwa mara ila kama unaenda kwenye harusi hakikisha unavaa shati ambalo si kubwa sana utakuwa kituko vaa shati ambalo linakukaa kwenye mwili na suruali isiwe pana sana itapendeza ukivaa na tai

MIXED SUIT
Hii ni suti ila unaweza ukavaa cardet au jeans, shati na koti la suti na ndo maana inaitwa mixed suit. utapendeza sana kiatu unaweza ukavaa moka au raba

MUHIMU
Epuka kuvaa jeans na t-shirt, pensi,makubazi vitu hivyo vitakushushia heshima na utaonekana muuni sana I hope tumeelewana
Asante mkuu kwa Elimu
 
Nishaenda kwenye harusi nimevaa jinzi nyeusi slim, shati drafti ya damu ya mzee na nyeusi nimechomekea na vansi nyeusi.

Na sikujua kama naonekana mhuni
 
Back
Top Bottom