Tuwaeleweje hawa wanaume wanaojichubua, kuvaa modo, kusuka na kutoboa pua?

cristela

Senior Member
Sep 20, 2016
138
297
kuna vitu kama mwanamke naviangalia na naishia kusikitika.. hivi inakuaje hili wimbi la wanaume kwa kasi ya ajabu kujiremba? hivi mwanaume kujichubua ni ili awe mrembo au? wameenda mbali mpaka pua wanatoa maana hereni wameona haziwatoshi. mwanamke tunavaa modo kutokana na maumbile yetu sasa hili la mwanaume unavaa modo ili? kiukweli wanaume wa sasa mnafika mahali mnajidhalilisha sana mwanaume unatoboa pua?
 
Tena wanaboa sana ndio maana siku hz bei ya vipodozi na modo imepanda maana watumiaji na walio na uhitaji ni wengi.
Yanatuongezea gharama za maisha tu mxieeew, mi nikikutana na wa dizaini hiyo ht salamu yake siitikii.
 
Maadili ya vijana yameshuka sana sasa hivi

Hofu ya Mungu imetupotea kabisa!!

Umagharibi umetutawala sana!

Sasa hivi social media ndo zinatulea kwenye kila nyanja!
 
Eti wanadai walikuwa under the hood and now they are trying to be on top of the hood.
Eti wakiulizea utaskia this is sean john got to put my swags on
 
Umesahau wanachonga mpaka nyusi" wanapaka lip shine
Mm kama mwanaume wakweli hua nachukizwa sana na tabia hiz
 
Dunia inakwenda kwa kasi sana, na mmomonyoko wa maadili unaongezeka kwa kasi pia.
 
Ni MASHOGA hao, kamwe usimpende kijana wa namna hii kwani badala akushughulikie wewe mwanamke wewe utakua unatafuta midoli na matango ya kumuingizia nyuma na unamtafutia mwanaume wa kumpiga paipu..
Na wengi wao ndio wanaokaa kwa kidume scorpion.
Sasa mtu kafungia suruali katikati ya matako atarushaje teke jamani?
Wadada tambueni hilo mapena
 
Hao wala usiwaite wanaume, wana kundi lao maalumu. Sio kila mwenye dushe ni mwanaume mkuu
 
nimekaa arusha mbeya mwanza hii vitu sijawahi ona ila dar ni kwa wingi sana adi mwanaume anarembua na kubenyua mdomo....
Hawa wako Tz nzima mbona hata arusha nimewaona" sema kwa sababu dar ni jiji kubwa wako kwa wingi zaidi.
 
1476016232606.jpg
kuna I style sku izi pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom