Tujadili kwa pamoja kuhusu wanaume kufuga kucha kuna maanisha nini...??

19 records studio

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
421
1,085
Habari ndugu zangu,
Naamini mko salama na bado mnaendelea kupigana na maisha ya sasa na hata kwa baadaye.

Kama kichwa cha habari kinavyo sema kuhusu majadiliano kwa pamoja kila mwenye wazo tofauti na mwenzake anaweza kuchangia hapa katika huu mjadala/ uzi.

Katika jamii yetu nyingi hasa hususani barani afrika na Asia tumekuwa tukiona wanaume wakifuga kucha kidole kimoja ama viwili na pia wengi wao hupaka rangi ama inna,

Sasa hii imekuwa ikiashiria nini kwa wanaume kufuga kucha, na nijuavyo kuwa wanawake ndio hufuga kucha ikiwa pamoja na urembo mwingine kwa sababu hata vitabu vitakatifu mbali mbali huwa vimeeleza kuhusu utamaduni wa kujipamba/ kujiremba ni mwanamke tu anaruhusiwa, ikiwa pamoja na hayo kwa jamii nyingi ya sasa tumekuwa tukiona wanaume kuvaa desturi ya wanawake kama kusuka nywele, kuvaa nguo za kubana, kutoboa masikio pamoja na pua.

Je...?? kwa mtazamo wako ni sahihi mwanaume aliye kamilika kufanya yote hayo ikiwemo kufuga kucha na kupaka rangi.
 
kitabu gani takatifu kinasema kupendeza au kujiremba ni mwanamke peke yake??
 
sipendi mwanaume anaefuga kucha,anaevaa cheni,anaevaa pete ambayo sio ya NDOA,nashukur MUNGU sijhawah kuwa nao kimahusiano! nawahis sio SALAMA KWANGU
Duuh ndo nshakosa sifa hivyo!

brain is the beautiful part of the body.
 
unavaa cheni au?na kwann unavaa chen au kufga kucha!jibu kwanza upokee UPONYAJI
Napenda tu kama watu wanavovaa saa, bila shaka hata saa hupendi.

Kufuga kucha hapana ila kuvaa vicheni simple tu kama rosary navaa!

brain is the beautiful part of the body.
 
Napenda tu kama watu wanavovaa saa, bila shaka hata saa hupendi.

Kufuga kucha hapana ila kuvaa vicheni simple tu kama rosary navaa!

brain is the beautiful part of the body.

Haahah saa napnda lakini cheni!!!!!!!!!mh nahisi umombasa mombasa!
 
Haahah saa napnda lakini cheni!!!!!!!!!mh nahisi umombasa mombasa!
Hata vile vicheni simple tu shingoni ??! Tena wewe kama mwanamke hutakiwi kukosa kicheni kidogo na heleni zikifanana rangi

brain is the beautiful part of the body.
 
Haahah saa napnda lakini cheni!!!!!!!!!mh nahisi umombasa mombasa!

mimi sijui nipoje!napenda mwanaume ambaye hata mafuta hajipaki/haendekezi! unakutana na mwanaume dukan la urembo busy anatafuta losheni arrrrrrrrrrrghhhhhh mie nakosa mzuka jaman! raha ya mwanaume awe na ile ngoz fulan amazing ya kiume halisia! akikugusa na kidevu kweli unahis nipo na MWANAUME! huwa nakuwa na mzuka sio wa nchi hii! wanzid kupungua tu jaman!
 
Hata vile vicheni simple tu shingoni ??! Tena wewe kama mwanamke hutakiwi kukosa kicheni kidogo na heleni zikifanana rangi

brain is the beautiful part of the body.

sasa ww unamix mambo! mie nasema sipend men avae cheni sio kusema mwanamke asivqae!mie chen navaa sana na heren kama kawa!
 
sasa ww unamix mambo! mie nasema sipend men avae cheni sio kusema mwanamke asivqae!mie chen navaa sana na heren kama kawa!
Hehehe sasa wewe unavaa halafu mwenzio asivae.

Personally navaa rosary ambayo ipo kama cheni

brain is the beautiful part of the body.
 
Back
Top Bottom