Harufu kwenye nguo za mtumba imekataa kuisha; nitumie nini?

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,710
8,008
Wana Jf habari za muda huu,

Bhana nimesagula viwalo vyangu mnadani ila kila nikivifua harufu ya mtumba haiishi.

Nimetumia sabuni kama aerial, Omo, jamaa ila wapi kitu hakitoki.

Naombeni ushauri jinsi ya kuondoa harufu kwenye hivi viwalo vyangu maana nimepanga kuvitupia wiki ijayo.....
 
Unataka kuniambia hii ndiyo mara yako ya kwanza kutumia nguo za mtumba??.
Hebu Jiongeze kabla sijakutandika swali la pili.
 
..piga maji timba hakuna atakaye kuuliza kwanini umevaa mtumba,kwani ni moja ya manukato amazing sana.

Ila uspende sana kukunua mitumba ya bukubuku ndizo zenye harufu kali sana
 
..piga maji timba hakuna atakaye kuuliza kwanini umevaa mtumba,kwani ni moja ya manukato amazing sana.

Ila uspende sana kukunua mitumba ya bukubuku ndizo zenye harufu kali sana
Asante kwa ushauri Sae
 
Sio mara ya kwanza mzee,,,ila ila hizi kila nikizifua harufu ya mtumba haitoki...
Unataka kuniambia hii ndiyo mara yako ya kwanza kutumia nguo za mtumba??.
Hebu Jiongeze kabla sijakutandika swali la pili.
 
Loweka kwa sabuni ya unga acha zilale hadi kesho, zikiendelea kutoa harufu rudisha kwa aliyekuuzia.
 
Back
Top Bottom