Kutokuvaa chupi mara kwa mara kwa Jinsia zote husababisha Viungo vya Uzazi kuwa imara na kuvutia!

tafiti zinaonesha . Wanaume wengi mashine zimepinda sababu ua kuvaa chupi mashine unailaza upande. Mwisho wa siku ikisimama inalalia au kuelekea upande .ni kama ukivunjika ukifungwa hogo limepinda siku ya kulitoa hogo na kiungo kinabaki kimepinda.
 
Kwa mtazamo wangu... mwanamke ni sawa kabisa kuvaa chupi, anajisitiri au kujikinga na mengi kutokana na maumbile yao...

Ila kwa sisi wanaume ni maamuzi yako... ndiyo maana zikaanzishwa boxer...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom