Rafiki zangu wananishangaa kwa nini sivai nguo ya ndani

Sorry mkuu, Wewe ni ME au KE??
Nina baadhi ya marafiki hunishangaa sana eti kwanini sivai nguo ya ndani ama chupi kama wengine mnavyoziita.

Mimi huwajibu kirahisi kabisa ,kuwa Mimi ni MTU huru kwa hiyo siwezi kuvaa chupi,MTU ukiwa uko huru ni lazima uwe Uhuru kwelikweli siyo wakuigiza najisikia Uhuru zaidi nikiwa sijavaa chupi

Sent using Jamii Forums mobile app

Wamejuaje kuwa huvai?

Jr
 
Back
Top Bottom