Tuwaambie tu ukweli kina dada, ni wachache mno wanaopendeza kwa suruali

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
9,179
2,000
Ni wachache mno, wengi wao ni mkumbo tu na kufuata upepo wa fasheni. Elewa hakuna kitu kwa ajili ya kila mtu, chagua chako na ukubali. Kama ilivyo kwa wanaume, sio wote watavaa pensi.

Sketi na magauni yanawakaa poa sana, hata wale wenye maumbo ya kanda pendwa hupendeza.

Suruali zina ubaguzi. Zikigoma acha, unakuwa kituko. Tatizo watu hawatakwambia ukweli, na sio kweli kwamba hawajali eti watamaindi mambo yao.

Unajitekenya tu.

Basi sikia ushauri, au endelee kushupaza shingo ili utusaidie vichekesho vya bure tupunguze stress zetu.

Ncha Kali.

1623740365974.png

 

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
3,050
2,000
Tatizo wengi wanaouza izo suruali hua wana shepu za kueleweka, sasa kina mwajuma mtaani wakiona zile picha insta jinsi suruali ilivyokaa mahali pake nao wanaagiza! Suruali inataka tumbo flat, hips na kamzigo kwa nyuma. Kinyume na hapo
 

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
9,179
2,000
Nakumbuka Dr. (Mwalimi) mmoja alituambia kutokana na maumbile suruali ni vazi la mwanamke. Ila mwanaume baada ya kuona anakosa Uhuru mbele ya mke akivaa Gauni akabadilisha utaratibu. Mfano ni pale mjomba akiamka unaanza kutafuta pakukaa ghafla.

Kama ni vazi la mwanamke, ingezoeleka hivyo kama ilivyo kwa kanzu… hebu tuambie mfano mtu akivaa kanzu anakosa uhuru upi?
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
23,329
2,000
Hata mi ningekua mwanamke ningevaa suruali kwakua ningepata flexibility ya kukimbia na kukaa bila kuwazia kama kuna mtu ananipiga chabo.

Pia suruali unaweza kuvalia viatu vya aina mbalimbali hata gum boot.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom