Kwa wanawake; Utunzaji wa nguo za ndani

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
15,046
2,000
`Nimekaa na kuwaza nikaona si vibaya kukumbushana na kuelimishana juu ya kutunza nguo zetu za ndani,
~Inajulikana kuwa nguo za ndani ni muhimu kuvaa zile zinazonyonya jasho kwa wepesi zenye matirio ya pamba,yaan hata kama wewe ni mvaaji wa bikini pendelea kuchagua za cotton

~ Fua nguo zako za ndani kwasabuni ya unga ,nahisi sabuni za vipande kama zinafifiisha mng'ao (epuka kuloweka chupi zako kwa zaidi ya siku moja hufifisha mng'ao) jitahidi kutumia STA SOFT kwa kusuuzia !

~Anika chupi zako nje kwa raha zote !achana na maisha ya kuanikia machupi bafuni pishana na mafungus na maUTI

~ piga pasi chupi zako upatapo nafasi

~ Pendelea kuziweka nguo za ndani kwenye droo na utupie na udi mzuri au weka deodorant ifungue inakuwa inakaa humo.

#ng'wanambitiyaza
 
Arie power

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
2,556
2,000
Vzr sana ushauri mwanana lakini kipengele cha kupiga pasi chupi eti mnauwa wadudu si kweli wale wadudu wanakufa Kwa miale ya jua tu kwahyo ukianika nje hata bila kupiga pasi ni sawa ila ukianika ndani alafu upige pasi unajidanganya.
 
kumbe !sikua najua
 
Pablo

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,451
2,000
`Nimekaa na kuwaza nikaona si vibaya kukumbushana na kuelimishana juu ya kutunza nguo zetu za ndani,
~Inajulikana kuwa nguo za ndani ni muhimu kuvaa zile zinazonyonya jasho kwa wepesi zenye matirio ya pamba,yaan hata kama wewe ni mvaaji wa bikini pendelea kuchagua za cotton

~ Fua nguo zako za ndani kwasabuni ya unga ,nahisi sabuni za vipande kama zinafifiisha mng'ao (epuka kuloweka chupi zako kwa zaidi ya siku moja hufifisha mng'ao) jitahidi kutumia STA SOFT kwa kusuuzia !

~Anika chupi zako nje kwa raha zote !achana na maisha ya kuanikia machupi bafuni pishana na mafungus na maUTI

~ piga pasi chupi zako upatapo nafasi

~ Pendelea kuziweka nguo za ndani kwenye droo na utupie na udi mzuri au weka deodorant ifungue inakuwa inakaa humo.

#ng'wanambitiyaza
Mmmhhhh naomba nikunuse nijue hyo "dolorant sijui''inanukiaje
 
girlie

Senior Member
Jul 14, 2017
170
250
Mambo zenu naulizia lodge nzuri sinza kwa 20,000 yenye ac,pasafi,kuwe na heater na maji ya kutosha.
 
motonkafu

JF-Expert Member
Dec 2, 2015
1,024
2,000
Kachupi angalau katoe harufu flani ivi ya shahawa kanaleta mzuka xo kachupi kasafiiii hakana ata harufu ya jasho utafikiri anavaa mdori
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom