Mwanamke mrembo lakini ngozi yake ngumu


Once set

Once set

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Messages
379
Likes
468
Points
80
Once set

Once set

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2017
379 468 80
Aiseeeee

Nilimsotea sana huyu mrembo nikampania sana maana kimuonekano ni anavutia haswa
Basi nikaenda nae hadi akawa sawa

Ajabu na kitu iliyonikata stim ni huyu demu kuwa na kingozi ligumu mwili mzima!
Si mikono wala kalio lake kubwa, kote ni ngumu kama gamba la samaki ful mikwaruzo, kiukweli hafanani na jinsi alivyo hakika hakuna kizuri bila kasoro

Inakuaje mrembo wa kimuonekana unakua na ngozi ngumu?

Kwakweli hapa atanisamehe, hataniona tena
 
Once set

Once set

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Messages
379
Likes
468
Points
80
Once set

Once set

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2017
379 468 80
Kama unaona hakufai si umuache? unalalamika ili sisi tukwambie kipi kipya unachotaka kusikia?
Mkuu fuata kuna ushauri umetolewa hapo juu, katafute vilainishi ngozi uwe nyororo
 
Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Messages
30,714
Likes
65,606
Points
280
Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2014
30,714 65,606 280
Mkuu fuata kuna ushauri umetolewa hapo juu, katafute vilainishi ngozi uwe nyororo
mimi tena au wee umpelekee mwanamke wako? cha kukuongezea mwambie atumie mafuta ya nazi yatamsaidia
 
Once set

Once set

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Messages
379
Likes
468
Points
80
Once set

Once set

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2017
379 468 80
Sawa mvulana.....wanaume wanazidi kupungua kila siku
Niwe muwazi tu, ngozi nyororo ni kigezo kwangu
Kama kitanipotezea uanamume basi watu wa mikoani mnatasbu sana
 
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
29,768
Likes
76,886
Points
280
Age
18
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
29,768 76,886 280
Pole sana mkuu kwa hayo yaliyokukuta.
Vumilia tu kama mshapendana
 
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Messages
4,597
Likes
5,939
Points
280
Age
28
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2014
4,597 5,939 280
ukikua utaacha kuwaza hivyo.
 

Forum statistics

Threads 1,249,419
Members 480,661
Posts 29,697,492