Nywele za huyu mwanamke zinatoa harufu mbaya

Bora mkuu useme wew yani mpaka kelo ila tunavunga tu japo cha moto tunakiona
 
Asili ya mwanamke ni usafi kwa kuwa ni pambo na ni ua linalo vutia...ndio maana mwanamke anapokuwa mchafu anakuwa kero.....hali kadhalika mwanaume akiwa hakuna anayeshangaa kwa kuwa Asili yake ni kutafuta...
 
Aisee, kweli. Wanaume mna kazi. Ukizingatia inapigwa maspray na pink lotion daily, mweeh!
 
Hapa ndo nashindwa kuwaelewa wanawake. Anashonea/kusukia hayo manywele na ataishi nayo kwa miezi...no water no nothing eksee! Amesuka miezi miwili...aaaah! So disgusting!!
 
Hizo nywele zikisukiwa unaweza kuosha kila wiki. Ni tabia tu, au na kubania jela ya saluni? Acheni ubahili muwezeshe mabbebbzzz
Hapa ndo nashindwa kuwaelewa wanawake. Anashonea/kusukia hayo manywele na ataishi nayo kwa miezi...no water no nothing eksee! Amesuka miezi miwili...aaaah! So disgusting!!
 
Mwanaume atoe harufu nisimshangae?kama mtafutaji ndo anuke?

Back
Top Bottom