Wataalamu wa jukwaa hili nawasalimu kwa moyo wote..yamkini inawezekana nisiwe pekeyangu ninaetatizwa na hili jambo ila naamini ndani ya hili jukwaa basi nitapata suluhisho kamili..
Nimekuwa...
Walotupia mikato tukaipenda kwenye tuzo hizi kubwa Africa Africa Magic Viewer’s Choice Awards.
This dress was the bomb best of them all.
Lovely dress
Ini Edo alisemwa sana na fans wake...
Huko Mexico wanawake wametoa kali kwa kuongeza urembo wa kucha kwa kubandika watoto wa nge.
Nge hao ni aina yenye sumu kali ambayo inaweza kuuwa binadamu kwa dakika 15 lakini sasa wanaweka nge...
Amani iwe nanyi wakuu., nimekutana sana na maongezi hayo .mfano wapo wanaosema inawezekana mtu kuwa ni mzuri lakini akawa hana mvuto., pia kuna warembo ila si wazuri na wapo wazuri kisha warembo...
Ladies and Gentelmen,
Leo tuangazie jinsi ambavyo tunaweza tukatunza Ngozi yenye mafuta hasa usoni.
Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa naitwa Kitumbua,hii nikutokana na uso wangu kuwa na mafuta...
Hello from the other side!
Okay nafurahia sana hili jukwaa la "Nirvana" limechangamka japo ni lipya ila lipo poa sana shukrani kwa moderator.
Nimeona thread kadhaa juu ya fasheni za...
Walimbwende mpumzike siasa kidogo.
Hivi inakuwaje nguo ulinunua mwenyewe moja baada ya nyingine mpaka kabati likajaaa, halafu unapata tukio kama harusi unatoa nguo zote kabatini halafu bado huoni...
Well, we already gave you 25 Ways to Be More Handsome, but we also know you want to dress your best, right? I mean, who doesn't—that's why your reading Esquire. Dressing your best boosts your...
Habari za muda huu wadau? Tangu kuanzia mwishoni mwa mwaka jana nimeona wamama na wadada wanakimbilia kunyoa nywele tofauti na tulikotoka. Wenyewe wanasema wanataka nywele ziote vizuri ila kuna...
Habari wana JF,
Tangia niskie kuwa maji yanakufanya uwe mweupe hata kumzidi Rooney nimeanza kwa kunywa kama litre 3 kwa siku lakini wapi.
Naomba msaada kuhusu hili maana hata simkaribii Vicente...
Hawa jamaa ukiwakuta Mwenge wanavofanya masaji miguu ya wadada, dah moyo unadunda the fastest, maana wanafunua hadi mapajani karibu na 18 yaani dah, sina jinsi ningeweza ningemkataza wife but ndio...
Jamani hivi naomba tusaidiane kufikiri kwa sauti,kumekuw na wimbi kubwa sana kwa wadada kutengeneza shape zao aka "kuongeza makalio hips" naa kuwa weupe ,na watu maarufu na wasokuw maarufu...
Uvaaji wa mavazi mavazi mabaya kwa mabinti na akina mama pamoja na unywaji wa pombe ndio chanzo kikuu cha maambukizi ya UKIMWI.
Serikali haikuwa na haja ya kufanya kampeni ya uvaaji mipira na...
Siku hizi wanawake wetu wanashindana kubandika manywele ya bandia ili wawe na nywele ndefu zilizodondokea mgongoni...
But wapo watu, mimi nikiwemo huwa napenda kuona mwanamke akitoka na nywele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.