Wapaka rangi kucha, wanatuibia wake zetu

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
Hawa jamaa ukiwakuta Mwenge wanavofanya masaji miguu ya wadada, dah moyo unadunda the fastest, maana wanafunua hadi mapajani karibu na 18 yaani dah, sina jinsi ningeweza ningemkataza wife but ndio haiwezekani haya basi sawa wacha iwe hivo dah!.
 
Wacha wajilie kama nyie mnatumia pesa kuwapata wao wanatumia ujuzi wao
 
Wanaogegedwa na watu wengine wakati wameolewa basi hao watu ni wajinga na hawajui thamani yao
 
teh teh teh. Hizo kucha huwa zina shida gani hadi zisuguliwe suguliwe muda wote?
 
Unamkuta mdada anasuguliwa hadi macho yanaiva hadi analegea huku jamaa anachombeza ni lazima aachie papuchi manake hapati huduma hiyo kwa jamaa yake.
 
Kinachonikera wanapokuwa wanasuguliwa hiyo miguu yaani muda unavyozidi kwenda ndimwanatanua miguu..mi huwa simuelewi kabisa wife material na hii kitu..anakuja kwenye ki ist chetu twende home makongo kaiva macho kama kala ukwaju
 
Mjifunze kutengeneza wake zenu mbona kutafuta hela mnaweza? Mi najua vyote mpaka massage shemeji yenu anapata ukiachilia kusafishwa kucha, nywele namnyoa mwenyewe hana haja ya kwenda salon. Tuepukane na uvivu tuchukue hatua kuboresha mahusiano na wenza wetu.
 
Umetisha mkuu,wewe ni wa kuigwa..
 
Kinachonikera wanapokuwa wanasuguliwa hiyo miguu yaani muda unavyozidi kwenda ndimwanatanua miguu..mi huwa simuelewi kabisa wife material na hii kitu..anakuja kwenye ki ist chetu twende home makongo kaiva macho kama kala ukwaju

Duh aisee!!
 
Kuna haja ya kujua km hawa jamaa ni rijali au lah! Yani salon za kiume wale wadada ni shida na huko nako mmh!!
 
Mkuu wapo marijali kabisa na wana wake na watoto,wasela wengi wametoka kimaisha kwa hizo shughuli wamejenga na familia zao ziko vyema unajua pale kuna wenye kipato mpk 90,000 daily!

Halafu sio wote wenye kumendea wanawake na kingine kibaya wapo mademu wanaojirahisi kwa hao vijana kwa lengo la kupata huduma bure,mwisho wa yote wanaangukia mwenye dhambi ya ngono.(mostly wadogo zetu wanafunzi)
 
Kinachonikera wanapokuwa wanasuguliwa hiyo miguu yaani muda unavyozidi kwenda ndimwanatanua miguu..mi huwa simuelewi kabisa wife material na hii kitu..anakuja kwenye ki ist chetu twende home makongo kaiva macho kama kala ukwaju
Ha ha ha ha!
 
Hawa jamaa ukiwakuta Mwenge wanavofanya masaji miguu ya wadada, dah moyo unadunda the fastest, maana wanafunua hadi mapajani karibu na 18 yaani dah sina jinsi ningeweza ningemkataza wife but ndo haiwezekani haya basi sawa wacha iwe hivo dah!

Hao wapaka rangi ni hatari sana,demu wangu pia walikita namna hiyo.
 
Ukiwa na mwenza ambae hajitambui kila kitu ni shida. Atatembea na muuza bucha, muuza nguo na viatu na pochi, mzaire wa kutengeneza nywele (wale jamaa akikuosha nywele anapiga massage flani hukawii kusinzia hehehe), daktari na banker you name it. Haina tofauti na kuwa na mune asiejitambua atakaetembea na muuza bar, hgal, office mates, na hata kutongoza marafiki wa mkewe.

Muhimu kuwa na mwenza anaejitambua na kujithamini. Maisha yote yatakuwa bwerereee
Kuna haja ya kujua km hawa jamaa ni rijali au lah! Yani salon za kiume wale wadada ni shida na huko nako mmh!!
 
M'pira uko kwenye himaya yako, focus kwenye kuumiliki na kuutumia badala ya kuwaza wapinzani wakiupata itakuwaje. That's winning mentality.
 
Watatupigia sana tu maana hawa mabibi zetu ndio wanao watega jamaa manaa wanaendea kurembwa kucha wanajitanua hovyo tu na ni makusudi na wengine hata chupi hawavai hata kama ungekua ww ndio unafanya kazi hiyo utakula nyama tu .ila sio wote baadhi wanajiheshim
 
Ukiwa na mwenza ambae hajitambui kila kitu ni shida. Atatembea na muuza bucha, muuza nguo na viatu na pochi, mzaire wa kutengeneza nywele (wale jamaa akikuosha nywele anapiga massage flani hukawii kusinzia hehehe), daktari na banker you name it. Haina tofauti na kuwa na mune asiejitambua atakaetembea na muuza bar, hgal, office mates, na hata kutongoza marafiki wa mkewe.

Muhimu kuwa na mwenza anaejitambua na kujithamini. Maisha yote yatakuwa bwerereee

Mimi nina kijiwe changu cha kuosha miguu na kuremba kucha Mwenge. Njoo uniungishe, discount 50%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom