Kumbe wanawake husifia waliowazidi urembo

Kumbe wanawake husifia waliowazidi urembo

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,237
Jamani yule mdada mrembo, amejazia!vipi bro nikuitie. Je umekumbana na hili zali
 
Ndio huwa wana sifiana na kuoneana wivu pia, ikiwemo kujitahidi kuwa mzuri kuliko wote wanao mzunguka
 
Nasifiaga lakin sijui kwa nini nakuaga mzito kwa kweli...
 
Back
Top Bottom