Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 804
- 1,285
Wataalamu wa jukwaa hili nawasalimu kwa moyo wote..yamkini inawezekana nisiwe pekeyangu ninaetatizwa na hili jambo ila naamini ndani ya hili jukwaa basi nitapata suluhisho kamili..
Nimekuwa napendelea nguo nyingi sana za cardet kuliko jeans na ndo nguo ninazozivaa sana,chini uwa navalia cardet yangu na viatu mara nyingi travorta...
Lakini mke wangu amekuwa akiniambia mara kwa mara nikiwa navaa cardet na Travota eti sipendezi na ananambia nivae viatu vingine...
Ebu nishaurini wanajukwaa ni viatu vipi hasa vinapendeza kuvaa na cardet??