sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,488
Habari za muda huu wadau? Tangu kuanzia mwishoni mwa mwaka jana nimeona wamama na wadada wanakimbilia kunyoa nywele tofauti na tulikotoka. Wenyewe wanasema wanataka nywele ziote vizuri ila kuna wengine kila wiki mbili wananyoa tena.
Utaratibu huu unashika kasi ni fashion au ni kurudisha ule mtindo wa zamani au ni uchumi?
Utaratibu huu unashika kasi ni fashion au ni kurudisha ule mtindo wa zamani au ni uchumi?