Best Dressed zetu kwenye Africa Magic Viewers’ Choice Awards 2016

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
202
250
Walotupia mikato tukaipenda kwenye tuzo hizi kubwa Africa Africa Magic Viewer’s Choice Awards.This dress was the bomb best of them all.

Lovely dress

Ini Edo alisemwa sana na fans wake gauni la harusi eti kwann kavaa kwa tuzo

this Full dresses

love this dress on the back

emerald green for Rita

Yellow cape dress
Napenda hii!
 
kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,469
2,000
11.-Minnie-Dhlamini-600x900.jpg

The best of the best dress, this's what 'On point' means.
The color, the train and the eye catching slit...
Simply beautiful!
 
kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,469
2,000
Mmh kusema kweli Ini Edo sielewagi whether hana mwili wa nguo au hana choice ya nguo au both. Mara nyingi naona yupo yupo kama mimi tu

Heheh!,..eti kukosa mwili wa nguo au choice ya nguo.
Acha fans wake waseme, that's the first thing you notice on her, dress kama shela.
Mtu sijui unaanzaje kuvaa mfano wa wedding dress kwenye event ya kawaida!
 
Heaven Sent

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
21,117
2,000
Heheh!,..eti kukosa mwili wa nguo au choice ya nguo.
Acha fans wake waseme, that's the first thing you notice on her, dress kama shela.
Mtu sijui unaanzaje kuvaa mfano wa wedding dress kwenye event ya kawaida!
Hahaha tunajikuta fashion police wenyewe mwee. Sijui ndo kupania sana au vipi, ila angetulia tu akavaa kitu simple angependeza mbona. sikumbuki ni mara ngapi Ini Edo amevaa na mie mpambe nuksi nikakubali, I'm still her beautiful fan though lol.

I always watch the red carpet anxiously to see Ritha Dominic, that momma knows how to slay us effortlessly
 
kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,469
2,000
Hahaha tunajikuta fashion police wenyewe mwee. Sijui ndo kupania sana au vipi, ila angetulia tu akavaa kitu simple angependeza mbona. sikumbuki ni mara ngapi Ini Edo amevaa na mie mpambe nuksi nikakubali, I'm still her beautiful fan though lol.

I always watch the red carpet anxiously to see Ritha Dominic, that momma knows how to slay us effortlessly

...and this's how it's supposed to be, "effortlessly"
Tatizo na kupania ni kujulikana kabsa kama umepania, na kama hujatokelezea sasa, ndo unakuwa topic of the town.
 
kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,469
2,000
amvcaDSC_0231360nobs.jpgSuit on trend?!

Lakini sijakubaliana nae hapo chini, pants ziko skinny chini sawa lakini suit na sandals?!!
 
kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,469
2,000
13.-Kemi-Adetiba-600x900.jpg

This one is the bomb!, with perfect shoes.

And you can easily transition it, from event to work or vice versa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom