Nimekunywa maji lakini wapi

JabagaM

JF-Expert Member
May 24, 2013
539
354
Habari wana JF,

Tangia niskie kuwa maji yanakufanya uwe mweupe hata kumzidi Rooney nimeanza kwa kunywa kama litre 3 kwa siku lakini wapi.

Naomba msaada kuhusu hili maana hata simkaribii Vicente Kigosi.
 
Hujamsikia vizuri Ray....yeye alisema anajipaka sana Caro White kisha anakunywa sana maji ili kuondoa harufu kali ya Caro White mwilini mwake.
 
Habari wana JF,

Tangia niskie kuwa maji yanakufanya uwe mweupe hata kumzidi Rooney nimeanza kwa kunywa kama litre 3 kwa siku lakini wapi.

Naomba msaada kuhusu hili maana hata simkaribii Vicente Kigosi.
Itabidi umuone Maimatha wa Jesse!
 
Nimegundua pia sasa badala ya kuwa kama akina Rooney, inasaidia kunifanya nizidi kuonekana kijana na handsome zaidi hahah
 
Nimemsikiliza Ray, nimemuelewa kwa sehemu, utata unakuja pale aliposema anakunywa lita 5 kwa siku kwa ulinganifu wa chupa 4 mpaka 5 zenye lita 1.5 zile kubwa. Ukipiga hesabu haiwi 5 kama alivyosema, zinakuwa sita mpaka 7.5 kwa siku. Naona anajichanganya tena
 
Habari wana JF,

Tangia niskie kuwa maji yanakufanya uwe mweupe hata kumzidi Rooney nimeanza kwa kunywa kama litre 3 kwa siku lakini wapi.

Naomba msaada kuhusu hili maana hata simkaribii Vicente Kigosi.
Hata Nyani Ngabu ana matatizo haya haya.
Anadai kuwa anakunywa maji lita 10 kila siku lkn bado mweusi ka kitambaa cha kaniki.
Alichoongezeka ni kitambi tu na maziwa makubwa.
Ukikutana nae usiku lzm utoke baruti.

Teh teh teh teh.
 
Back
Top Bottom