Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,403
Hello from the other side!
Okay nafurahia sana hili jukwaa la "Nirvana" limechangamka japo ni lipya ila lipo poa sana shukrani kwa moderator.
Nimeona thread kadhaa juu ya fasheni za watoto,wapendanao pamoja na mitindo kadhaa ya urembo na utanashati pia leo nikawakumbuka ndugu zangu wapendwa wanakwaya wana fashion na mitindo yao tofauti kidogo mingine mizuri mingine agggrrr
Nimejaribu kucheki kidogo sana kupitia google kuona jinsi wapendwa katika mataifa kadhaa ha hapa Afrika wanavyovaa nimevutiwa sana na South Africa pia Kenya sio mbaya sana ila Uganda ndio wale wale Tanzania ndio hapana Ahsante
Hii ni baadhi ya mifano michache
Uganda
Kenya
Rwanda
South Africa
Tanzania
Nimejiuliza tu kwa wanakwaya wetu ina maana bila hayo mashati ya kumeremeta kinanda hakisikiki?
Binafsi siyapendi kabisa na sijui mtu anakua na ujasiri gani kuvaa hayo mashati ya kumeremeta maana inataka ujasiri kweli
Niliwahi kumuacha msichana wangu mapemaa kwa jaribio la kutaka kumletea mdogo wangu shati kama hilo kwenye mahafali