eyetyna
Senior Member
- Jun 24, 2011
- 148
- 17
Ladies and Gentelmen,
Leo tuangazie jinsi ambavyo tunaweza tukatunza Ngozi yenye mafuta hasa usoni.
Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa naitwa Kitumbua,hii nikutokana na uso wangu kuwa na mafuta sana, inafikia kipindi hata nikawa nakata tamaa kupaka hata poda.
Ilikuwa kila baada ya dk chache nikijiangalia usoni ninang'aa kama nimepakaa mafuta ya vitumbua au ya kupikia.Lakini sikukata tamaa, nikijua hii hali itanifanya nitafute njia ya kuweza kutatua tatizo hili na mwisho wa siku nikaja kupata suruhu, Na hizi ndio njia ambazo nilitumua/Ninatumia mpaka sasa na zimenisaidia sana.
Hii pia ilinisaidia hata kuufanya ngozi yangu ionekane nadhifu,na yenye kupendeza ukilinganisha na mwanzoni nilivyokuwa.
Hata tatizo la chunusi na madoa ukitaka uepukane navyo zingatia kufanya haya na utaona suruhu ya tatizo hili.
Sishauri sana mtu kutumia chemicals kutibu tatizo la ngozi/Uso wenye mafuta.
Karibuni kwa michango, na shuhuda za jinsi ulivyoweza kutibu tatizo la uso kuwa na mafuta mengi.

- Kupunguza/kuacha kabisa kula vitu vyenye asili ya mafuta( karanga, korosho, Mayonise,Blue band,Peanut butter na vitu vyote vya kukaanga).
- Vitu vyote vyenye sukari( Chocolate, biscuite, Soda , na kama nikinywa basi nachanganya na maji)
- Nikawa nakunywa maji walau lita 3-5 kwa siku
- Nikawa siruhusu kabisa kupata stress( msongo wa mawazo)
- Kuosha uso kwa sabuni isiyo na chemical kila siku kabla ya kulala, hakikisha unalala uso wako ukiwa ni msafi .