Kwanini MASHOGA wengi hupenda kufunga Kifungo cha juu cha Shati?

Habarini Wakubwa?

Binafsi sijawahi nivaapo Shati sijawahi kabisa kufunga vifungo vyote vya shati hasa cha shingoni pale, lakini cha ajabu nimewaona MASHOGA wengi wavaapo mashati hufunga vifungo vyote mpaka cha shingoni huwa sielewi wanaanisha nini au ndio moja ya Identity yao?
Unaweza mtambua shoga kwa kuangalia nin…??
 
Mkuu yawezekana jamii inayokuzunguka ni hiyo ya mashoga, kiasi kwamba hata vijitabia vya ajabu unaviona.
 
Habarini Wakubwa?

Binafsi sijawahi nivaapo Shati sijawahi kabisa kufunga vifungo vyote vya shati hasa cha shingoni pale, lakini cha ajabu nimewaona MASHOGA wengi wavaapo mashati hufunga vifungo vyote mpaka cha shingoni huwa sielewi wanaanisha nini au ndio moja ya Identity yao?
Umenikumbusha Michael Scofild
 
Sijasema nina experience nao isipokuwa kuna mtu aliwahi niambia hivyo, nami sikutaka kuamini moja kwa.moja...nikaingia Instagram nikasearch majina ya wale watu ambao za "vijiweni" na hata humu Jamiiforums zinasema wanajihusisha na Uchafu huo nikaangalia uvaaji wao wa mashati wengi nikakuta ndio uvaaji wao ni huo...
Ngoja waje watatoa majibu
 
Kulingana na swali lako,may be kwa sababu wewe sio shoga ndo maana hujawahi kufunga kifungo cha juu,next time ukimuona shoga yeyote mwite umulize utapata jibu but humu sidhani kama utapata ulichotaka.
 
Back
Top Bottom