Jamani hivi what so special kwa mafuta ya ojojo? Maana mjini hakukaliki ni ojojo, nyumbani hakukaliki ni ojojo.
Hivi ni kweli haya mafuta yanasaidia kukuza nywele? Kuna mwenye ushahidi aliyeyatumia nywele zikajaa na kurefuka?
Maana mke wangu kila siku analilia haya mafuta nimemwambia akiyatumia nywele zisipokua namnyoa kipara. Ukizingatia yanauzwa bei.