Fesheni ya watoto! Cool saaana!

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
202
145
Cheki mitindo ya watoto hawa ya kupendeza!

kids-fashion-9.jpg

kids-fashion-10.jpg

kids-fashion-11.jpg

kids-fashion-12.jpg

kids-fashion-13.jpg

kids-fashion-15.jpg

kids-fashion-16.jpg

kids-fashion-17.jpg

kids-fashion-14.jpg

003acEBJzy6ZFz9batMf6&690

kids-fashion-5.jpg

kids-fashion-8.jpg

BABY3.jpg

BABY.jpg

BABY76.jpg

BABY2.jpg

BABY66.jpg

BABY7.jpg

003acEBJzy6ZFz9batMf6&690

RYAN32.jpg

Ukitaka kuangalia nyingi zaidi unaweza kwenda 16Lao na kuzipata.
 
teh nimetamani tu bana, sio kama nataka now lol
Sawa Dada yangu lakini kuna mambo kibao tofauti na Tanzania hasa Dar
hayo ma-pool neck kwa joto la Dar au Dodoma hayafai
hizo nywele za huyo mtoto ni shombe ukichanganya na za kwako
173866.jpg
mtoto atapendeza ila huyo mume shombe mtaishi miaka yote salama labda awe zee la kizungu lkn km ni Mhindi au muarabu imekula kwako mzigo ni wetu sisis wajomba
mngeniweke picha za watoto wa kibongo ningewasifu sana na hizo sifa zenu mnazozitoa
 
Nope mpendwa, me nimependa tu swagga za hao watoto, wangu si ntamvalisha according na mazingira yetu. Teh me ntaolewa tu na mbongo mwenzangu Inshallah, ugonjwa wangu ni ngozi nyeusi teh
 
Nope mpendwa, me nimependa tu swagga za hao watoto, wangu si ntamvalisha according na mazingira yetu. Teh me ntaolewa tu na mbongo mwenzangu Inshallah, ugonjwa wangu ni ngozi nyeusi teh
nipo hapa heaven sent. baridi ya Mbeya imenitandika mweusi tii. tutafute kababy tukavalishe suspenders kama hako kazungu.
 
Back
Top Bottom