Msaada dawa ya kupunguza tumbo

leop

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
550
523
Jmn wapendwa habr, mm ni msichana nilikuwa mwembamba b4 ila siku izi nimeanza kunenepa cha ajabu tumbo linakuwa kubwa nguo hazinipendez yan naona kero, msaada nifanyaje ili niiepuke hii hali jmn
 
Anza na kupunguza kiasi cha chakula unachokula,kisha uwe unafanya mazoezi ya kuondoa tumbo. Usisahau kunywa maji mengi
 
Anza na kupunguza kiasi cha chakula unachokula,kisha uwe unafanya mazoezi ya kuondoa tumbo. Usisahau kunywa maji mengi
Nashukuru mpendwa, maji nitumie ya moto o barid
 
kanunue dawa inaitwa SANAMAKI kariakoo ipo duka za dawa asili mtaa wa NYAMWEZI nzuri sana
 
Punguza bia za bure fanya mazoezi kunywa maji moto asubuhi na jioni kitaisha chenyewe
 
jitazame kama unatumia njia za uzazi wa mpango mfano sindano huwa zina "wafumua" watu ghafla, kwa hiyo muone Dr. akushauri njia nyingine ya uzazi wa mpango
 
kanunue dawa inaitwa SANAMAKI kariakoo ipo duka za dawa asili mtaa wa NYAMWEZI nzuri sana
Hakuna dawa ya kupunguza kitambi zaidi ya mazoez na kula kwa utaratibu.....hizo dawa ni matatizo
 
jitazame kama unatumia njia za uzazi wa mpango mfano sindano huwa zina "wafumua" watu ghafla, kwa hiyo muone Dr. akushauri njia nyingine ya uzazi wa mpango
No citumii hizo dawa mpendwa
 
Fanta mazoez ya kupunguza tumbo jaman daa linaharibuje shepu.....
Usile vitu vyenye mafuta
 
Kama umeolewa Mwambie Mzee apige Pumbu kindengereko kwa mikunjo ile just two weeks zinatosha
 
fanya mazoez kila siku asubuhi ukiweza hata jion sawa, kwa muda wa mwezitupe mlejesho. amani iwe kwako
 
Back
Top Bottom