structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
Kwa wale ambao ni wa karne kadhaa watakumbuka kuwa hapo kale kulikuwa na mtindo wa watu hasa vijana wa miaka hiyo kuchana suruali hasa maeneo ya magotini na badhi kwenye paja. Yani mtu alikuwa nanunua suruali mpyaa kabisa ila anaichana ili tu aonekane kuwa katupia
Sasa kwa sasa naona hali hiyo imerudi kwa kasi. Nimeona kwa diamond na baadhi ya wasanii wengine wakivaa ena mtindo huo. Kubwa zaidi ni kwamba mtaani naona wasichana wengi na visuruali vilivyochanwa kwenye magoti na mapaja. Sasa najiuliza imekuwaje tena mpaka hii fasheni imerudi? Hawa vijana(KE na ME) wanadhani wamebuni kitu kipya au? Na je wanadhani wanapendeza sana?