Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Wakuu nimeingia pale Cadet zinauzwa Tzs. 79,000 na 126,000 Viatu vizuri vyenye label yao hadi 250,000 wenye Uzoefu na Maduka haya hebu tuambieni Ubora nikinunua hiyo Cadet ya 126,000 nitadumu nayo au ni manguo ya Kupauka tuu isipokua wanayakweza ila viatu nimeona ni Imara kwa kuviangalia tuu nguo mpaka uifue ndo unaijua Ubora wake!