Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wadau habari zenu! Leo naomba nitoe elimu kuhusiana na uvuvi wa dagaa katika ziwa letu pendwa Victoria. Kwa muda kadhaa sasa nipo najihusisha na uvuvi ktk ziwa hili hivyo nimeona niwaletee ukweli...
7 Reactions
28 Replies
7K Views
Naombeni munisaidie ukubwa na namna ya kujenga banda zuri la kisasa ambalo linaweza kkufuga aina yoyote ya kuku (kisasa au kienyeji). Nataraji kuanza na kuku wa kienyeji. Je, nianze na kuku...
10 Reactions
94 Replies
166K Views
Habarini wana Jf. Shamba langu la Mifugo lina Mbuzi, kondoo, kuku, kanga, bata, Mbwa wa kisasa, njiwa na ngombe wawili ambao wanafugwa wakiwa ndani muda wote. Lengo langu ni kuwa na wanyama wa...
0 Reactions
5 Replies
992 Views
UTANGULIZI… -Kutokana na mabadiliko ya tabianchi yaliyopo sasa, zao hili linaweza kuwa mbadala kwa maeneo ya vijijini kwani zao la Mkonge lina sifa za kustahimili hata kwenye maeneo ambayo mazao...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Vyanzo vya miche bora ya Mkonge 1. Maotea/Matoto ya Mkonge Mkubwa (Suckers) 2. Vikonyo vilivyokuzwa katika kitalu Hasara za kutumia maotea 1. Si rahisi kupata miche inayo lingana urefu, umri na...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu, mm ninafuga ndege hao aina tatu. Nilichogundua, bata anahimili magonjwa sana, pia vyakula hachagui sana. Bata wana nyama nyingi sana na wanauzwa hadi 35,000 kwa jogoo mkubwa. Bata hawana...
13 Reactions
51 Replies
12K Views
Tunazo mbegu za majani ya Alfalfa kutoka nje ya nchi. Ni kilo 5 tu. Unatakiwa kuwahi. Piga simu: +255754349558 WhatsApp: +447375612666
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za hapa? Nimesikia mbulu kuna viazi vitamu, naomba msaada mwenye connection jinsi vinaweza kupatikana, au kama kuna dalali uniunganishe.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninaomba kupata taarifa juu la zao la karafuu kwa mkoa wa Morogoro, ni sehemu gani inapatikana na bei yake kwa Sasa. Asante
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wapi naweza kupata vifaa vya incubator Kama feni, heater, Tray na Thermostat?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa Africa Macadamia inalimwa sana South Africa na Kenya, ingawa pia hata Zambia wanakuja kwa kasi ya kutisha. Macadamia kwa Tanzania sio sana ingawa kuna Wazungu wanalima kitambo ila sio sana...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama una mawazo mapana hizi Idara Nizakutupia jicho pana mno; 1. KILIMO 2. UFUGAJI 3. AFYA Huwezi kuzungu Afya kama bila chakula Utatu huo ndiyo mpango mzima wa kila kitu kimaendeleo kwa namna...
2 Reactions
1 Replies
702 Views
MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika...
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Jamani Tanzania ina wataalamu wa kilimo wangapi na ni kwa mujibu wa bajeti ya mwaka gani
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Nahitaji Kanga MWEUPE kwa ajili ya kufuga. Nahitaji zaidi dume, ikishindikana hata jike ni sawa pia. Mimi ninafuga kanga wa madoa hivyo nahitaji kuchanganya na weupe pia. Ndiyo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana jamvi! Leo nimeona si vibaya kushare nanyi kidogo nnachojua kuhusu kilimo cha umwagiliaji, na katika uzi huu nitajaribu kuelezea kile nnachojua na pia kupata mawazo kutoka kwa wadau...
12 Reactions
231 Replies
53K Views
MBUNGE ABUBAKAR ASENGA ATAKA SERIKALI IFANYE USANIFU MABONDE YA UMWAGILIAJI YA IFAKARA Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro, Abubakar Asenga katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
SERIKALI YAJA NA MPANGO MKAKATI WA KUMLINDA MKULIMA WA KOROSHO NCHINI. Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi imeendelea na jitihada za kuimarisha bei ya korosho nchini kwa kufufua viwanda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi nikitaka kujua ukubwa wa eneo fulani kwa HEKA ambalo sio mraba au mstatili (eneo halina umbo mahalumu) ninafanyaje? Nilipata hii changamoto kidogo ila niliamua kupima mzunguko wake wote kwa...
2 Reactions
52 Replies
13K Views
Ninaomba kufahamu kuhusu mradi wa miti ya mbao, ninawazo la kununua shamba na kupanda hiyo miti. Ninaomba kufahamisha kuhusu chochote kuhusiana na mradi huo kwa wenye uzoefu.
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Back
Top Bottom