Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

UTANGULIZI… -Kutokana na mabadiliko ya tabianchi yaliyopo sasa, zao hili linaweza kuwa mbadala kwa maeneo ya vijijini kwani zao la Mkonge lina sifa za kustahimili hata kwenye maeneo ambayo mazao...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Vyanzo vya miche bora ya Mkonge 1. Maotea/Matoto ya Mkonge Mkubwa (Suckers) 2. Vikonyo vilivyokuzwa katika kitalu Hasara za kutumia maotea 1. Si rahisi kupata miche inayo lingana urefu, umri na...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu, mm ninafuga ndege hao aina tatu. Nilichogundua, bata anahimili magonjwa sana, pia vyakula hachagui sana. Bata wana nyama nyingi sana na wanauzwa hadi 35,000 kwa jogoo mkubwa. Bata hawana...
13 Reactions
51 Replies
12K Views
Tunazo mbegu za majani ya Alfalfa kutoka nje ya nchi. Ni kilo 5 tu. Unatakiwa kuwahi. Piga simu: +255754349558 WhatsApp: +447375612666
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za hapa? Nimesikia mbulu kuna viazi vitamu, naomba msaada mwenye connection jinsi vinaweza kupatikana, au kama kuna dalali uniunganishe.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninaomba kupata taarifa juu la zao la karafuu kwa mkoa wa Morogoro, ni sehemu gani inapatikana na bei yake kwa Sasa. Asante
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wapi naweza kupata vifaa vya incubator Kama feni, heater, Tray na Thermostat?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa Africa Macadamia inalimwa sana South Africa na Kenya, ingawa pia hata Zambia wanakuja kwa kasi ya kutisha. Macadamia kwa Tanzania sio sana ingawa kuna Wazungu wanalima kitambo ila sio sana...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama una mawazo mapana hizi Idara Nizakutupia jicho pana mno; 1. KILIMO 2. UFUGAJI 3. AFYA Huwezi kuzungu Afya kama bila chakula Utatu huo ndiyo mpango mzima wa kila kitu kimaendeleo kwa namna...
2 Reactions
1 Replies
700 Views
MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika...
0 Reactions
1 Replies
647 Views
Jamani Tanzania ina wataalamu wa kilimo wangapi na ni kwa mujibu wa bajeti ya mwaka gani
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Nahitaji Kanga MWEUPE kwa ajili ya kufuga. Nahitaji zaidi dume, ikishindikana hata jike ni sawa pia. Mimi ninafuga kanga wa madoa hivyo nahitaji kuchanganya na weupe pia. Ndiyo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana jamvi! Leo nimeona si vibaya kushare nanyi kidogo nnachojua kuhusu kilimo cha umwagiliaji, na katika uzi huu nitajaribu kuelezea kile nnachojua na pia kupata mawazo kutoka kwa wadau...
12 Reactions
231 Replies
53K Views
MBUNGE ABUBAKAR ASENGA ATAKA SERIKALI IFANYE USANIFU MABONDE YA UMWAGILIAJI YA IFAKARA Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro, Abubakar Asenga katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
SERIKALI YAJA NA MPANGO MKAKATI WA KUMLINDA MKULIMA WA KOROSHO NCHINI. Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi imeendelea na jitihada za kuimarisha bei ya korosho nchini kwa kufufua viwanda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi nikitaka kujua ukubwa wa eneo fulani kwa HEKA ambalo sio mraba au mstatili (eneo halina umbo mahalumu) ninafanyaje? Nilipata hii changamoto kidogo ila niliamua kupima mzunguko wake wote kwa...
2 Reactions
52 Replies
13K Views
Ninaomba kufahamu kuhusu mradi wa miti ya mbao, ninawazo la kununua shamba na kupanda hiyo miti. Ninaomba kufahamisha kuhusu chochote kuhusiana na mradi huo kwa wenye uzoefu.
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Habari zenu wadau, Kama mada inavyojieleza ninauhitaji na hizo mashine kwa yoyote anayejua zinakopatikana basi anijulishe tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
816 Views
Habari za leo waungwana. Ninashida ya vifaranga wa kuku wa kienyeji na bata, wakiwa chotara ni vizuri zaidi, kuanziya mwezi mmoja. Napatikana: 0689360264
0 Reactions
0 Replies
932 Views
SHILINGI BILIONI 18.4 SUA KUJENGA CHUO CHA KILIMO KATAVI HALMASHAURI YA MPIMBWE Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Mhe. Martha Festo Mariki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom