Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Assalam alykum. Naomba msaada. Huu muembe wangu unadondosha embe changa karibu ya zote. Nimetumia dawa ya wadudu na ile nyongeza ya vitamin lakini bado. Nifanyeje?
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Habar wadau wa JamiiForums, Naomba kuuliza nawezaje kufanya biashara ya Madawa ya kuulia wadudu shambani au kwenye mimea ivi kuna ugumu gani Pia faida na hasara zake ni zipi?
1 Reactions
6 Replies
825 Views
Huu ni uzi utakaobeba mambo mengi kama sio yote kuhusiana na kilimo cha mpunga nchini Tanzania. MPUNGA Hili ni zao la chakula linalolimwa kwa wingi kwenye maeneo ya ukanda wa joto. Zao hili...
9 Reactions
37 Replies
16K Views
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe leo tarehe 02 Julai, 2023 amefanya kikao cha ndani kilichowakutanisha viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya...
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Kama kichwa kilivyo yaani hii ni zaidi ya hatari, Mkulima ni chombo cha kudharauliwa nchini. Serikali ilitangaza bei ya soko Tsh. 15, 000/ lakini wanunuzi wanalipa Tsh. 3,000/ (elfu tatu)kwa kilo...
5 Reactions
51 Replies
11K Views
Wakuu naamini humu kuna wafugaji wenzangu jamani. Mimi ndio najifunza kufuga. Nina kuku wangu analali, ana siku 14, sasa basi leo wakati naangalia mayai kama yatakua na vifaranga ndani, dah kwa...
2 Reactions
2 Replies
712 Views
UNAWEZAJE KUFUGA SUNGURA KIBIASHARA????
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mbeya imeanza kunoga,huku Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Maarufu kama Nanenane yakishika Kasi Kwenye Maonesho Kuna ingizo jipya la kuku wa Shilingi Laki 7 za Kitanzania. Kilimo ni UTI wa mgongo
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wale wafugaji wa kware na mayai yake bado mpo? Mmekaa kimya siku hizi hatusikii mkileta mada za kuhubiri manufaa ya mayai ya kware. Au ndio tayari motivation spika wameshawapiga na kitu kizito...
5 Reactions
11 Replies
991 Views
Habarini ya kazi. Naomba kufahamu kwa wanaojua, hivi kuku aina ya Malawi wale wanaopatikana sana Mbeya huatamia na kuangua mayai yao ama nao ni kama chotara wa kawaida wanataga tu pasipo kuatamia...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
CONDESTER SICHALWE AKUTANA NA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA MOMBA KILICHOFANYIKA CHITETE Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 24 Julai...
0 Reactions
0 Replies
486 Views
Ninauza alizeti zipo mkoa wa mbeya mjini na Rukwa bondeni. Mawasiliano ni 0769902875 Karibuni sana, bei ni maelewano. Nb: Alizeti ni ya mwaka huu imetoka shambani.
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauliza wapi zinauzwa mashine hizi za kumwagilia dawa za kuua wadudu kwenye mimea kama vile mikorosho, zinatumia mafuta zinaitwa mist duster-power sprayer, hubebwa mgongoni na hutumia petrol ili...
0 Reactions
4 Replies
842 Views
Mh. Waziri Bashe na timu yako nzima mimi mkulima wa viazi nakushukuru sana Waziri Bashe. Kwa ufupi nimevuna magunia manne ya viazi nikapeleka sokoni narudishiwa mzigo wote wa viazi, vyote vina...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu wadau wa kilimo, habari za majukumu Niende kwenye lengo, ninamparachichi ambao huzaa matunda mengi ila una tatizo la kuozesha matunda yake, uozo unaanzia ndani kwenye mbegu kuja nje ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 22 Julai, 2023 ameendelea na ziara katika Kijiji cha Yala na kuzungumza na wakulima wa Kijiji hicho. Akizungumza...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Habari wakuu, Natafuta mbegu ya chakula cha kuku azola kwa mkoa wa mbeya, naweza kupata wapi? Maana nimetafuta sana nimekosa. Au kama kuna mdau anauza basi anicheki please.
1 Reactions
3 Replies
648 Views
Habari wakuu Naomba kujuzwa mm nimkulima wazao la michungwa msimu huu machungwa yamekua na ukungu mweusi na majani yake ya michungwa yamekua meusii kama kwenye picha. Msada wakuu
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, nimenunua shamba milimani huko, shida yake hili shamba ni maji, ukitaka kulima mazao lazima usubirie msimu wamvua. Sasa nataka nilipande mazao ya muda mrefu ambayo yanahitaji kumwagilia...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
KILIMO CHA NYOKA Achana na Matikiti sijui Kuku, sijui Vitunguu sijui Mayai ya kwale hili sasa ndio suluhisho, kilimo cha Nyoka ni suluhisho. Kwa mujibu wa hisabu za calculeter yng ya cm, hebu...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom