isackmichael9 New Member Joined Sep 5, 2022 Posts 1 Reaction score 2 Sep 5, 2022 #1 UNAWEZAJE KUFUGA SUNGURA KIBIASHARA???? Attachments IMG_2478.JPG 9 KB · Views: 59
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 7,516 Reaction score 12,360 Sep 6, 2022 #2 Hata mimi natamani nijifunze ..Nko interested na ufugaji wa sugura Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi natamani nijifunze ..Nko interested na ufugaji wa sugura Sent using Jamii Forums mobile app
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,424 Reaction score 17,065 Sep 6, 2022 #3 mh ngoja wadau waje ila sikushauri kama huna mtaji na uwezo wa kutosha
BUSHMEN 88 Member Joined Sep 3, 2022 Posts 25 Reaction score 31 Sep 11, 2022 #4 Ata mimi napenda ufugaji wa sungura kibiashara ila sina elimu ya kutosha na uzoefu wajuzi watupe elimu.
Ata mimi napenda ufugaji wa sungura kibiashara ila sina elimu ya kutosha na uzoefu wajuzi watupe elimu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 170,416 Reaction score 188,509 Sep 11, 2022 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...
Typical JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 711 Reaction score 671 Jan 24, 2023 #6 Natafuta watoto wa sungura!! Wawe wenye umri uliozid miezi 3 Idadi kubwa sana Naombeni mwenye connection
Natafuta watoto wa sungura!! Wawe wenye umri uliozid miezi 3 Idadi kubwa sana Naombeni mwenye connection
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,215 Reaction score 165,817 Jul 30, 2023 #7 Nyama yake inapatiakana wapi hapa daslam nije niionje, naona kama wanafanana na nyau....sijui ntaiweza kula🙄
Nyama yake inapatiakana wapi hapa daslam nije niionje, naona kama wanafanana na nyau....sijui ntaiweza kula🙄
Kudasai JF-Expert Member Joined Jan 1, 2016 Posts 229 Reaction score 300 Jul 30, 2023 #8 Huyu member@isackmichael9 sijui kama bado yupo. Aliweka bandiko na kupotea mazima!
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,670 Reaction score 5,568 Jul 31, 2023 #9 Evelyn Salt said: Nyama yake inapatiakana wapi hapa daslam nije niionje, naona kama wanafanana na nyau....sijui ntaiweza kula🙄 Click to expand... Ni nyama nzuri sana,nyeupe haina lehemu
Evelyn Salt said: Nyama yake inapatiakana wapi hapa daslam nije niionje, naona kama wanafanana na nyau....sijui ntaiweza kula🙄 Click to expand... Ni nyama nzuri sana,nyeupe haina lehemu
Prodigal Son JF-Expert Member Joined Dec 9, 2009 Posts 1,080 Reaction score 743 Jul 31, 2023 #10 Kuna mambo mengine yanaendana na utamaduni kwa watanganyika wengi hii kitu hawali kabisa ni wachache kabisa wanakula niliona Uganda wanafuga kwa wingi na wana sell Dubai
Kuna mambo mengine yanaendana na utamaduni kwa watanganyika wengi hii kitu hawali kabisa ni wachache kabisa wanakula niliona Uganda wanafuga kwa wingi na wana sell Dubai
Faka25 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2021 Posts 1,986 Reaction score 1,434 Jul 31, 2023 #11 Ninao sungura nauza