Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari, Nahitaji Nafaka Hizi Hapa Chini. Ulezi Msafi (Grade 1) Tone 20 Ufuta Msafi (Grade 1) Tone 20 Weka Namba Za Simu Nikupigie Kama Una Nafaka Husika Na Mmiliki Mwenyewe
1 Reactions
5 Replies
774 Views
Wakubwa kwa wakazi wa Arusha nahtaji anayeuza bata wadogo na kuku hasa croila, saso au malawi naomba connection.
1 Reactions
2 Replies
731 Views
Mimi ni namiliki shamba la parachichi mkoani njombe ukubwa NI heka10 na shambo lipo juu ya mlima na kwenye upunde wa mlima chini ya mlima huo ndio kuna bonde na chanzo cha mto sasa naitaji...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kijana wangu alitafuta ajira kwa miezi sita baada ya kumaliza chuo. Mwisho tuliamua kuingia katika kilimo cha mboga mboga. Shamba ni la urithi la ekari tatu, tulikodi trekta kung’oa visiki...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Zao la Soya lina protini nyingi yenye ubora wa hali ya juu kuliko iliyoko katika aina nyingine ya mazao ya mimea. Kiasi cha protini katika soya inazidi hata kiasi cha protini katika nyama, mayai...
2 Reactions
31 Replies
33K Views
Ndugu zangu, poleni na majukumu ya kikazi, nimepatwa na wazo la kulima miwa pale Kilosa kwa ajili ya kuuzia kiwanda cha Mkulazi kwa ajili ya kutengeneza sukari. Nimepata shamba la heka sitini...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekua nikijihusisha na ufugaji wa kuku. Ila sasa naona wanakufa. Kuku wangua nawaachia wazunguke ndani ya geti. Yaani wanatoka kwenye banda na kuzurura ndani ya geti tu. Ila cha ajabu kuna muda...
2 Reactions
8 Replies
761 Views
Sayansi na teknolojia ni maendeleo ya mwanaadamu ambayo yanaelekea kuiharibu Dunia yetu nzuri tuliyozawadiwa na Mungu. Hii ndo kusema akili za mwanaadamu sasa zimepindukia kiasi cha kumdhuru yeye...
1 Reactions
8 Replies
855 Views
Kulingana na gharama za sasa za mbegu na mbolea, naomba analyst mmoja ambae ana uzoefu shambani anisaidie simple estimation ya hizi: A. Je, mbolea ninazotakiwa kutumia ni zipi na kwa kiasi gani...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Mwaka huu nimelima tikiti, I provided everything needed ila bado mazao hayanenepi, sababu kubwa iliyoni cost ni USIMAMIZI MBOVU. Mimi ni mwajiriwa kwaio sikuwa na muda wa kutembelea shamba...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Wanajf siku chache zilizopita nilikuja hapa jukwaani na kuwaomba ushauri kuhusu ugonjwa huu wa vifaranga ambavyo vinaharisha halafu kinyesi kinaganda sehemu yao ya haja kubwa, mlichonishauri...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kulima tunalima ila hatutoki kimavuno ila baada ya kukaa chini nimeona bora nije hapa nipate. Ushauri au elimu bora ya uchaguaji mbegu yenye kipato kikubwa,karibuni kwa maoni wakuu
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Salaam wakuu....! Samahani wakuu, nilikuwa naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa mbegu hizi za muhogo:- [emoji419]i. Pwani [emoji419]ii. Kiroba [emoji1621][emoji1621]#Location yangu ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je uko maeneo gani na bei ya mahindi gunia moja. kwenu ikoje ! Tusaidiane Kujua unafuu uko wapi. Thanks.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Heshima kwenu ninyi nyote, Naomba kuuliza , Benki ya mkulima ipo? Na Kama ipo iko wapi? Na uko iliko inafanya kazi kweli kwa ajili ya mkulima? Kilimo kinaitaji mtaji wa kutosha na wakulima wengi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Saiz saa nane usiku ndo nimeunga code nimejua hili. Nina mbwa 2 mmoja wa zaman na mwingine hana hata miezi6. Huyu wa zaman sijajua walimtengeneza lini ila kawa mpole kupitiliza anajiliza tu kama...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Nyanya ni zao ambalo hushambuliwa sana na magonjwa ya ukungu msimu wa mvua nyingi na msimu wa baridi kali. Hali hiyo husababisha bei ya nyanya kupanda sana kipindi hicho na wale wanaobahatika kuwa...
1 Reactions
26 Replies
18K Views
Nimeona clips nyingi sana YouTube ambapo wenzetu wanavuta maji kutoka kwenye visima na mabwawa bila kutumia nishati ya aina yoyote, na tuna mpango wa kujaribu hapa chuo cha SUA. Nlitaka nipate...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Naombwa kufamishwa ubora wa kirutubisho aina ya Super Gro kwenye mimea/mazao.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF kwema? Nahitaji supplier wa Mayai ya Kienyeji pure kabisa ya jumla. Offer price ni 12,000Tshs kwa trei moja. Naweza kuchukua mpaka tray mia +. Napatikana Dar es salaam. Aliye serious...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom