Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nina Mzinga 10 nimeiweka shambani mwezi Julai 2019 hadi sasa nyuki hawajaingia. Nifanyeje?
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Uhitaji ya zao la parachichi unazidi kuongezeka siku hadi siku kutokana na kuwepo kwa viwanda vingi vinavyotumia zao hili la parachichi kama moja ya malighafi za kutengenezea bidhaa mbalimbali...
10 Reactions
48 Replies
8K Views
Maonyesho ya Kilimo ya Kimataifa ya Nairobi ni maonyeeho makubwa mno na ya quality sana, ni sawa na ilivyo sababa saba sasa ile Sababa saba iwe ni ya Kilimo tu pata picha. Mkulima ni bora...
3 Reactions
8 Replies
891 Views
Heshima kwenu wakuu. Ninaambiwa na watu kwamba kilimo cha tangawizi kinalipa sana kwa sababu soko la uhakika lipo na ni zuri. Nimeshaelekezwa sehemu ambayo hili zao linakubali uzuri. Ombi langu...
8 Reactions
219 Replies
138K Views
Msimu huu tukalime Mambo ya kukaa mjini tukitegemea wanakijiji waliojichokea ndio watulimie chakula, imepitwa na wakati. Kila mmoja kama ataamua kulima, vyakula vitashuka bei na maisha yatakuwa...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Habari za usiku ndugu katika Jukwaa hili. Nimekuwa njia panda nikijaribu kufikiria kipi ni bora kukifanya kati ya hivyo viwili katika heading hapo. Hebu tujaribu kupanuana mawazo katika hivi vitu...
2 Reactions
34 Replies
14K Views
Nimelima miti aina hii ni mwaka wa 4 sasa tupeane changamoto
0 Reactions
3 Replies
879 Views
Habar naimani wote wazima, Binafsi n mwanafunz wa mwaka watatu naelekea kuhitimu masomo yangu ya degree ya Kwanza, Ninaa malengo makubwa na kilimo cha miti hususan MITIKI nimejarbu kufatilia...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Nahitaji mbegu za mahindi DKC 777, DKC 90/89 lakini hazipatikani Karagwe, Ngara, Missenyi na Bukoba. Aliye na taarifa zilipo naomba anifahamishe pamoja na bei.
2 Reactions
27 Replies
4K Views
UKIPEWA SH.10000 UMFUKUZE KANGA KATAA, HUTAMPATA Tanzania inatajwa kama taifa linaloongoza kwa kuwa na mbuga pamoja na wanyama wengi duniani. Itapendeza iwapo tutakuwa tukizielewa tabia za...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Habar wanajamvi, nimeona nirudie hii mada kuhusu kilimo cha machungwa, maana nimeona watu wakidanganyana kuhusu kilimo cha machungwa, mimi ni mkulima mdogo wa zao hili na hiki ninachotoa ni uzoefu...
9 Reactions
53 Replies
21K Views
NAOMBA MNISAIDIE DAWA YA UTITIRI KWENYE KUKU WA KIENYEJI
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kinadharia ufugaji wa sungura kibiashara ni jambo lenye kuleta matumaini sana, lakini kiuhalisia ni biashara yenye utata mkubwa sana kwa hapa kwetu Tanzania. Makampuni mengi yanayohamasisha...
7 Reactions
95 Replies
35K Views
Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nimeona post ya viongozi kugawa majembe ya mkono kwa wakulima huku mkuu wa wilaya akiwataka vijana wakachukue utajiri kwenye kilimo. Binafsi nimeona hilo...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
Habari wanajamvi. Je, una mifugo inayosumbuliwa na maradhi mbalimbali? Ningependa tutumie uzi huu kushare picha za wanyama wa kufugwa (ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata n.k)...
2 Reactions
1 Replies
866 Views
Habarini wadau, samahani eti maua gani au mti gani ambao ukipandwa nyoka hasogei kabisaa eneo hiloo?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za jioni wanajamvi, Kichwa cha habari chajieleza hapo juu, wadau nataka kufuga Kasuku lakini sijui naanzia wapi. Tafadhali naomba mwongozo wenu kwa mtu anayejua chochote kuhusu kasuku...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Habari ndugu, Naomba msaada kujua ni mbegu ipi ya nyanya inafaa kupanda kipindi hiki cha miez ya 9 mpaka 12? Nipo Mkuranga.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukiachana tofauti ya bei ya njiwa huanzia elfu 10 pair moja ya njiwa Wa kawaida, elfu 60 kwa wale weupe, na wengine wapo wanauzwa hadi laki 8 kwa pair moja! (Kazi moja ya njiwa ni...
28 Reactions
256 Replies
53K Views
Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom