Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Maboga ni moja ya Chakula kinacho weza tumiwa kutatua njaa inayo sababishwa na ukame, sema ni vile Jamii ina under rate Maboga lakini yana uwezo mkubwa sana linapo kuja swala la njaa. Wakulima wa...
11 Reactions
16 Replies
2K Views
Ikitokea mbuzi amekula mboga mboga bustanini bas kuna asilimia kubwa ya hizo mboga kukauka au kuendelea kusurvive kwa shida na hatimae kufa ila ng'ombe akila hakuna kitakachotokea nini...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
naleta kwenu Hoja...ya maelekezo ni gear gani or equipment gani ninunue iliiniwezeshe kufyeka Shamba jipya lenye miti midogo kwa tractor 1:YouTube nimeona hii gear inaitwa bush hogg.... Please...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanazengo kichwa cha habari kimejieleza Natanguliza shukrani kwa atakenipa ABC kwenye hilo. Mi ndio kwanza naanza hicho kilimo nataka nitumie kumwagilia kwa matone " drip irrig." 1. Kitalu kama...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Kutokana na Taarifa ya hapo chini kutoka Azam Tv: KUSHUKA KWA BEI YA MAHINDI, NINI SABABU NA KIFANYIKE?: Hoja ya kuporomoka kwa bei ya mahindi nchini imetinga kwa mara nyingine bungeni baada ya...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za muda huu, Nimeanza kufuga kuku wa kienyeji ila changamoto ilionileta hapa ni kuwa.... Kuna jike moja wapo lilianza kutaga mpaka sasa ana mayai zaidi ya kumi ila kila akitaka kutaga...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hali ya wakulima wa Vanilla inatisha Kyerwa, Karagwe na Bukoba vijijini leo nimepata taarifa kuwa wakulima wameanza kung,oa zao hili kutokana na ukosefu wa wanunuzi nimeambiwa mwaka jana waliuza...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwako waziri Bashe tunakwenda msimu mpya wa kilimo na wa pembejeo na tunaaambiwa mawakal ikifika tarehe 1mwezi wa 7 inabidi kusimama mpaka maelekezo mapya yatakapo toka tena. Kilio changu mpaka...
0 Reactions
4 Replies
809 Views
Habari? Kifaranga wangu ana wiki ya tatu sasa hivi. Wiki ya kwanza ndiyo niligundua kuwa haoni baada ya kula, kunywa maji na kutembea kwa hisia(yaani anabahatisha kila anachokifanya). Hajawahi...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
MHE. EMMANUEL CHEREHANI - SERIKALI IONDOE MAKATO YA MITI KILIMO CHA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau habari zenu! Leo naomba nitoe elimu kuhusiana na uvuvi wa dagaa katika ziwa letu pendwa Victoria. Kwa muda kadhaa sasa nipo najihusisha na uvuvi ktk ziwa hili hivyo nimeona niwaletee ukweli...
7 Reactions
28 Replies
7K Views
Naombeni munisaidie ukubwa na namna ya kujenga banda zuri la kisasa ambalo linaweza kkufuga aina yoyote ya kuku (kisasa au kienyeji). Nataraji kuanza na kuku wa kienyeji. Je, nianze na kuku...
10 Reactions
94 Replies
166K Views
Habarini wana Jf. Shamba langu la Mifugo lina Mbuzi, kondoo, kuku, kanga, bata, Mbwa wa kisasa, njiwa na ngombe wawili ambao wanafugwa wakiwa ndani muda wote. Lengo langu ni kuwa na wanyama wa...
0 Reactions
5 Replies
971 Views
UTANGULIZI… -Kutokana na mabadiliko ya tabianchi yaliyopo sasa, zao hili linaweza kuwa mbadala kwa maeneo ya vijijini kwani zao la Mkonge lina sifa za kustahimili hata kwenye maeneo ambayo mazao...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Vyanzo vya miche bora ya Mkonge 1. Maotea/Matoto ya Mkonge Mkubwa (Suckers) 2. Vikonyo vilivyokuzwa katika kitalu Hasara za kutumia maotea 1. Si rahisi kupata miche inayo lingana urefu, umri na...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu, mm ninafuga ndege hao aina tatu. Nilichogundua, bata anahimili magonjwa sana, pia vyakula hachagui sana. Bata wana nyama nyingi sana na wanauzwa hadi 35,000 kwa jogoo mkubwa. Bata hawana...
13 Reactions
51 Replies
12K Views
Tunazo mbegu za majani ya Alfalfa kutoka nje ya nchi. Ni kilo 5 tu. Unatakiwa kuwahi. Piga simu: +255754349558 WhatsApp: +447375612666
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za hapa? Nimesikia mbulu kuna viazi vitamu, naomba msaada mwenye connection jinsi vinaweza kupatikana, au kama kuna dalali uniunganishe.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninaomba kupata taarifa juu la zao la karafuu kwa mkoa wa Morogoro, ni sehemu gani inapatikana na bei yake kwa Sasa. Asante
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wapi naweza kupata vifaa vya incubator Kama feni, heater, Tray na Thermostat?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom