Mikopo Kwa Wakulma; Je, ni Kwa Mkulima yeyote anayekidhi Vigezo husika au inatolewa Kwa kuangalia Usoni yaani Ubaguzi?

Tsyamatsy

Senior Member
Sep 9, 2023
109
155
Pamoja na lengo zuri la Serikali na nia njema Kwa ajili ya kuboresha na kukigeuza Kilimo chetu kuwa ni Cha Kibiashara zaidi, lakini Kuna watu Kwa makusudi kabisa wanarudisha nyuma juhudi hizi za Serikali.

Kuna Bank moja maarufu hapa nchini Ukienda kuomba mkopo Kwa ajili ya kilimo na ukishaonekana wewe ni mkulima mdogo hata kukuangalia Usoni wanapata kinyaa kwani unaonekana kama unawapotezea muda.

Je, Kwa Mkulima mdogo yeye akimbilie wapi??

Au huyu mkulima mdogo HATAKIWI kupata msaada wa kubadilika kutoka kutoka kilimo Cha kujikimu hadi kilimo Cha Kibiashara??
 
yaani unataka wakukopeshe ww unayelima kwa ajili ya chakula? kuwa serious kidogo. after all inatakiwa unakopa kuendeleza na sio kuanzisha.
 
yaani unataka wakukopeshe ww unayelima kwa ajili ya chakula? kuwa serious kidogo. after all inatakiwa unakopa kuendeleza na sio kuanzisha.
Ekari zaidi ya mia (100>) ni za chakula kweli ndugu yangu??
 
Back
Top Bottom