Ufugaii nguruwe vs ufugaji kuku

draga

Member
Jul 19, 2020
19
45
Ni ufugaji upi unaoweza nipatia faida kwa haraka Zaid Kati ya ufugaji wa nguruwe na ufugaj wa kuku ? Naombeni na sababu Wana jamvi
 
gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
2,630
2,000
Ok,
Kwanza ipo tofauti kiuwekezaji kwenye fugo hizi mbili,kuku itakutaka pesa kidogo kuwekeza ili walau upate kipato lakini nguruwe itakutaka uwekeze pesa nyingi ili walau uone faida.

Mfano kinda mmoja wa Nguruwe wakienyeji anaanzia 50000 na pure breed wanauza kinda kuanzia 200,000.

Ukilinganisha kifaranga wa kuku chotara anauzwa 1400,wamayai 2500,broiler anarange 1000-1500.
Hivyo tutakubaliana kwamba kwenye kuku panahitaji kiwango kidogo cha pesa cha uwekezaji ukilinganisha na nguruwe.

Kama utaanza na nguruwe wachache itakuhitaji muda mrefu kuanza kuona faida ya ufugaji.
Chukua mfano wa mimi nina wastani wa matetea 200 wa chotara ambao ninapata 400000-500000 faida kwa mwezi kwa kuuza mayai.

Nimeanza kufaga nguruwe sasa ni kama mwezi hivi hivyo bado sina maarifa yakukupatia kwakua bado ni mchanga,hata hivyo wanaenda vizuri,nguruwe nilioanza nao ni local breed ambao Mungu akipenda nitahamia kwenye pure breed ili nipate matokeo zaidi.
All in all kufuga ni kuzuri.
 
Agenda1

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
1,503

Mkuu nielekeze huko wanakouza pure breeds kwa laki 2 nikanunue.
 
wakaliwetu

Member
Jul 16, 2020
40
125

Umefafanua vyema ila bei ya pig let pure breed bei imesimama kwakweli, na kwa ufugaji naamini wote mwanzo unatumia pesa bila ya kurudi pale ulipoitoa, mpaka baada ya muda fulani ndio faida utaanza kuiona pindi matokeo yatakapo anza kutokea.

Ufugaji kwakweli unahitaji uvumilivu sana nimeshawahi kukaa na Bata Bukini miaka 2 hawaja taga mpaka nikatamani kuwachinja ghafla wakaanza kutaga na kutotoa bila ya shida, kwakweli ni changamoto sana na inahitajika uvumilivu sana na kuweka macho karibu ya mifugo yako sana.
 
prospilla

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
802
1,000
Ok,
Kwanza ipo tofauti kiuwekezaji kwenye fugo hizi mbili,kuku itakutaka pesa kidogo kuwekeza ili walau upate kipato lakini nguruwe itakutaka uwekeze pesa nyingi ili walau uone faida.
Mfano kinda mmoja wa Nguruwe wakienyeji anaanzia 50000 na pure breed wanauza kinda kuanzia 200,000.
Ukilinganisha kifaranga wa kuku chotara anauzwa 1400,wamayai 2500,broiler anarange 1000-1500.
Hivyo tutakubaliana kwamba kwenye kuku panahitaji kiwango kidogo cha pesa cha uwekezaji ukilinganisha na nguruwe.
Kama utaanza na nguruwe wachache itakuhitaji muda mrefu kuanza kuona faida ya ufugaji.
Chukua mfano wa mimi nina wastani wa matetea 200 wa chotara ambao ninapata 400000-500000 faida kwa mwezi kwa kuuza mayai.
Nimeanza kufaga nguruwe sasa ni kama mwezi hivi hivyo bado sina maarifa yakukupatia kwakua bado ni mchanga,hata hivyo wanaenda vizuri,nguruwe nilioanza nao ni local breed ambao Mungu akipenda nitahamia kwenye pure breed ili nipate matokeo zaidi.
All in all kufuga ni kuzuri.
Maelezo mazuri sana.
Ninafuga nguruwe pia, nimefuga hawa crossed(sio locals sio pure)

Nahitaji kujifunza, unahisi nikitaka kufuga hizi pure breeds nikilenga wapi hasa patanilipa.

Kuwa breeder au kwaajili ya nyama, ukizingatia bei ya pure breed pamoja na gharama ya kuwatunza ili niweze kufikia matunda yao vyema kabisa..
 
gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
2,630
2,000
Maelezo mazuri sana.
Ninafuga nguruwe pia, nimefuga hawa crossed(sio locals sio pure)

Nahitaji kujifunza, unahisi nikitaka kufuga hizi pure breeds nikilenga wapi hasa patanilipa.

Kuwa breeder au kwaajili ya nyama, ukizingatia bei ya pure breed pamoja na gharama ya kuwatunza ili niweze kufikia matunda yao vyema kabisa..
Sory nimechelewa kukujibu,
Mara zote mbegu inalipa kuliko kuuza bidhaa kwa matumizi mengine,
Chukua mfano wa mahindi ambayo sokoni kwa sasa 1kg=600 lakini 1kg ya mbegu ya mahindi yanafika mpaka zaidi ya 7000 hivyo ni wazi kwamba kuwa breeder kunalipa zaidi.
Pia kinda wa nguruwe local wa miezi 2-3 ni around 50,000 lakini kinda wa durock(mbegu) wa umri huo anafika mpaka 1,000,000.
Hata hivyo kuwa breeder kunahitaji kujipanga sana kimtaji hivyo unaweza kuanza taratibu huku ukijiwekea malengo naamini hakuna linaloshindikana kama utajibidiisha.
 
qualalumpagrinder

Senior Member
Jul 28, 2016
109
225
Fuga vyote...ntakupa sababu, uchafu wa kuku yaani kinyesi chao pamoja na vyakula vinavomwagika vinatumika kulishia nguruwe. Fuatilia hili wenzetu hakuna kinachotupwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom