Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro alishiriki zoezi la ugawaji wa Miche ya Kahawa lililofanyika Octoba 4, 2023 katika Kijiji cha Kashinga - Nyakisasa.
Miche hii ni matokeo...
Watu wengi tunawachukulia poaa sana Wahindi,kisa wanaishi mjiji.Ila ukweli ni kwamba wahindi wamewekeza sana kwenye Aridhi,Wana mashamba makubwa na ya kutisha.
Binafisi nimetembelea Wahindi kama...
MBUNGE ZAYTUN SWAI: PROGRAMU ENDELEVU YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI ITAWASAIDIA SANA AKINA MAMA
Mhe. Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha tarehe 11 Oktoba, 2023 ameshiriki...
Habari wakuu,
Nahitaji mbegu ya maharage aina ya fiwi nataka nijaribu,ila nahitaji mbegu inayozaa sana,achana na zile za Hedaru,kama unafahamu naipaje[wapi],usisite kuwasiliana na mimi. Asante sana.
Kwa wataalamu na wazoefu mliomo humu, naombeni ushauri wenu. Katika miche zaidi ya ishirini, miwili imeonesha kutokuwa sawa:
1. Kasi ya ukuaji imepungua, kama inataka kudumaa
2. Majani...
Nyakati tulizo nazo sasa ni za kilimo cha kisasa. Kilimo cha technology. Nyakati hizi ni za kutumia viuatilifu na teknolojia zingine.
Hebu jiulize, ni vijana wangapi wanaweza gharama hii? Yaani...
Karibu Nehemia One Pvt Co Ltd. Kampuni yenye wataalamu wenye uzoefu wa masoko na uzalishaji wa mazao ya kilimo.
Kampuni inapenda kukukaribisha kwenye fursa ya uzalishaji wa MDALASINI...
Pamoja na lengo zuri la Serikali na nia njema Kwa ajili ya kuboresha na kukigeuza Kilimo chetu kuwa ni Cha Kibiashara zaidi, lakini Kuna watu Kwa makusudi kabisa wanarudisha nyuma juhudi hizi za...
Ukikutana na wale wafundisha ujasiriamali utasikia anzia sokoni tafuta soko ukisha pata sasa nenda shambani kalimie.
Unakuta sasa wakulima tunaogopa sana kulima baadhi ya mazao kwa sababu...
Hapo juu hizo ni list za Machungwa ambazo unaweza pata kutoka kwetu, ni graftes na kama unataka kulima comercialy itapendeza sana hasa maeneo yenye full time jua.
1. Minneola- Hii ni cross kati...
Kutokana na ugumu wa maisha watu wanajaribu kUchangamkia fursa mbalimbali ikiwemo kilimo na ufugaji.
Baada ya FURSA hii kuonekana ndio kimbilio la wengi wamejitokeza watu wengine tena nao...
MIFUMO YA MASOKO YA MAZAO YA KILIMO
Masoko ya mazao na bidhaa za kilimo ni muhimu kwa ajili ya kuchochea uzalishaji na kuendeleza Sekta ya Kilimo. Aidha, ubora wa miundombinu wezeshi katika...
Habari za mchana wanajf
Leo nataka niwafahamishe kuhusu mnyama huyu aitwaye simbilisi au kwa kiswahili sanifu anaitwa nungu bandia
1. Anakula majani na vitu vyote alavyo binadamu yan...
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Wataalamu wa kilimo huo mwinuko ni rafiki wa mazao gani?
Mwinuko huo mnau weka katika kundi lipi low land au highland.
Lengo langu ni mazao yafuatayo
1. Mahindi...
Tarehe 27 tulifanikiwa wadau wachache kutembelea Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nairobi.
Maonyesho yale ni makubwa sana na very organised ukilinyanisha na zile Nane nane zetu,nilijifunza...
Sekta ya uvuvi imekuwa ni sekta pana inayoajiri asilimia kubwa ya Watanzania inayosaidia vijana kujiajiri na kutatua tatizo la upungufu wa ajira katika taifa letu kwa kiasi chake.
Taifa letu...