CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,915
Wafugaji wengi wa Sungura wamebakia kufanya Biasjmhara inayo itwa Farmer to Farmer. Yaani anakuuzia na wewe ukafuge na wewe utayafuta mfugaji umuuzie akafuge na chain inaendelea.
Ni nadara sana kupata mtu anakuja kununua Sungura akachinje ale, kwamba anakuja shambani kwako anunue Sungura kadhaaa akachinje.
Hii ni kwa sababu Ulaji wa Sungura sio Utamaduni wa Watanzania ingawa wapo wanao wajua na walio kula Sungura pori, ingawa ukweli ni kwamba nyama ya Sungura ni tamu sana na ni nzuri kiafya nazani zaodi hata ya kuku.
WANAPO KWAMA
Wafugaji wengi hawana Visioni na wala plan, pia hawana Umoja, hili ni tatizo la Wa Tz wengi kila mmoja anapambana kivyake.
Wafugaji Wa Sungura wangeungana na wakaamua kabisa wataspend hata Maaka mzima kufanya Marketing pekeee wangeweza kutengemeza Wateja wa kutosha kabisa.Wakawa wanachangishana Sungura kila siku kwa ajili ya Market.
Wangeanza hata Kuchinja na kuchoma au kukaangana na kuonjesha watoto mashuleni, wanaenda Shule A wana ongea na Wanalimu, na baada ya hapo Sungura wanachinjwa hapo na wana chomwa na watoto wanaonjeshwa, Siku nyingine shule nyingine, siku nyingine shule nyingine siku nyingine kwenye Taasisi mnaonjesha stafu wote.
Wakitoka hapo Tafimuta Baa na wawe wana Supply nyama ya Sungura free kwa miezi 6 na wateja wanachomewa pale na wanaonjeshwa.
Zoezi hili likiwa serious mwaka mzima nina uhakika uhitaji utapaaa sana na utaanza kuona watu wanaulizia Sungura wa kwenda kula na sio kufuga tena.
Watoto wakaonjeshwa nyama lazima wakasumbue Wazazi wao wawanunulie Sungura wale.
Shida sasa ni wafugaji, mbinu hawana wamekalia kuangalia leo badala ya kuja na mikakati ya kutengeneza soko la Sungura.
Jiji la Dar wakipatikana wateja Serious hata 5000 jiji zima ni wengi sana hao.
Lakini hali ilivyo kwa sasa watu wanauziana tu wakafuge saaa hii sio kabisa.