Je, hiki kirutubisho cha super gro kina matokeo mazuri katika mzao?

Jifunafu

Senior Member
May 25, 2020
182
603
Wanajanvi Salaam,

Matumaini ni muda muafaka wa kuingia shamba. Mimi ni mkulima wa mahindi lakini Kwa musimu huu naitaji kubadili kilimo. Mwaka huu nitajikita katika kilimo Cha mpunga.

Nikiwa katika pita pita za maduka mbali mbali ya pembejeo nimekutana mdau mmoja akanieleza kuhusu hii Busta ya Super Gro kwamba inafanya vizuri katika mazao mbalimbali na inaokoa gharama.

Nimeona nije hapa kama Kuna mtu aliwai tumia hii Super Gro anipe mrejesho vp ilifanya vizuri katika mazao yake, Ili kama nitanunua niwe na uelewa kuhusu hili.

Wadau Kwa Alie wait kutumia hii naomba mrejesho vp ilifanya vizuri?. Maana jamaa ameniambia Iko vizuri.

Nawasilisha Wakuu.
 
Ndio hivyo Kwa aliwai kunitumia atupe mrejesho matokeo yake Yako vipi.

IMG-20231106-WA0000.jpg
 
Hujakutana na watu wa network marketing wangekushawishi usingechomoka.
 
Back
Top Bottom