Ufugaji wa sungura ni dili ukiachana na longolongo za wababaishaji

Jun 30, 2021
5
14
Sungura ni mnyama mla majani, wanyama wala majani ni wanyama wa gharama nafuu kufuga maana huweza kula vyakula ambavyo wanadamu na wanyama wenye mfanano na binadamu hawali. Vyakula kama majani au mabaki ya vyakula hupatikana kwa gharama nafuu.Hii kufanya ufugaji wa sungura kuwa wa gharama za chini kabisa kulinganisha na kuku ,samaki au nguruwe.

UZALISHAJI: Sungura mmoja kwa mwaka huweza kuzaa watoto hadi 35. Kwa hiyo sungura 100 huweza kuzaa hadi watoto 3500

UMRI WA KUUZA AU
KUCHINJWA: Sungura huweza kuuzwa au kuchinjwa wakiwa na umri wa kuanzia hata miez 2 hadi 6 kulingana na mahitaji ya soko

SOKO: Kuna kasumba kwamba nyama ya sungura haina soko kwa watu wengi wa local, hivyo husema kwamba huuzwa sana katika mahoteli ya kitalii na masoko ya nje ya nchi na kufanya sungura kuuzwa bei ya juu. Hii ni kasumba tu, lkn sio kweli, jamii za watu hapa TZ wanakula nyama ya sungura lkn wangependa waipate kwa bei nafuu na mahali popote kama ilivyo mbuzi, kuku au nyama ng'ombe

FAIDA: Wakati inatajwa katika mifugo wengine kwamba chakula huchukuwa gharama za ufugaji kwa asilimia 60%-70% , katika sungura ni asilimia 15-20, hufanya faida ya sungura kuwa na faida ya asilimia 65-75 ya mapato.

Ushauri mzuri wa ulishaji usingatiwe, usikurupuke kulisha pellet za watu wanaotafuta pesa kwenye bidhaa za vyakula vyao

Tucheck 0621106923 tukupe deal
 
Feasibility study hasa upande wa masoko ni jambo la msingi sana kabla hujashawishiwa kuwekeza kwenye inayoitwa fursa.

Njia nyepesi ya kufanya hii study ni kujiuliza basic questions yafuatayo.

1. Je, wewe na familia yako ni walaji wa sungura?

2. If yes, mara ya mwisho umekula sungura lini?

3. Katika kipindi cha mwezi mmoja, unakula sungura mara ngapi kama kitoweo?

4. Jirani zako ninwalaji wa sungura?

5. Wanakula sungura kiasi gan kwa mwezi.

Mteja wa Kwanza wa bidhaa ni wewe na familia yako. Mteja wa pili ni majirani wanaokuzunguka.
Mteja wa watu ni ndugu wa karibu.

Ukishawamudu hawa nenda kwa wateja wa maduka na super markets.

Ukiona unashawishiwa kufanya biashara ambayo wewe na jirani zako sio wateja, usitegemee kupata wateja sokoni.

Swala la pili. Kuna dhana mbili za biashara za ufugaji kwa sasa, dhana ya kwanza na B2B..business to business....au biashara toka kwa mfugaji kwenda kwa mfugaji. Hii inalipa zaidi, na imejikita kwenye kuuza mbegu zaidi ili mwingine akafuge. Bidhaa zinazoangukia kwenye kundi hili ni ile mifugo inayofugwa kwaajili ya mapambo au isiyo na mzubguko mkubwa sana sokoni. Mfano bata mzinga, kanga, bukini, kware, hata sungura wanaangukia kwenye kundi hili.

Wengi wanaofanya biashara katika dhana hii, wamejikita kutangaza kuuza mbegu na kuhimiza ujasiriamali. Mf. Kuna mkulima anapromote zaidi kilimo cha papai, ila yeye biashara yake si kuuza papai bali kuuza miche. Shamban kwake hana papai hata moja analoweza peleka sokoni kwani anaelewa risks za kulima papai nyingi bila kuwa na mteja ..huaribika kirahisi.

Dhana ya pili ya biashara ya kilimo ni B2C..business to customers...(toka kwa mfugaji kwenda kwa mlaji)...hii ndio yenye demand kubwa zaidi, kwan bidhaa inayozalishwa hapa ni ile yenye demand sokoni kwa walaji. Mfano kuku wa kisasa/kienyeji. Mahindi, ,haya yanalika moja kwa moja na mteja.

Nachoweza washauri ndugu zangu ni kufanya feasibility kabla ya kuingia katika uwekezaji wa aina yoyote.

NB.
Maoni yangu yanalengo la kuelimisha na hayana uhusiano na hoja za mleta mada.
 
Ni kweli ni gharama nafuu sana kufug sungura. Gharama kubwa iko kwenye miundombinu. Kwa maana ya banda la kisasa. Ni vyema kama umekusudia kufuga ukagema na mkojo.

Ni mradi mnzuri kama utaunganisha na mradi wa bustani au kilimo.

Kuhusu soko ni kweli watu wengi hawali nyama ya sungura. Sio kuhusu mazoea. Wanakula kile kinachopatikana kwa wingi na kwa bei nzuri.

Inahitaji ubunifu kidogo tuu kuiingiza nyama ya sungura sokoni. Unaiongezea thamani. Kwa mfano unaweza tengeneza Sosage, sambusa, au kuuza kama nyama ya kusaga yenye viungo. Mradi tu usiwe na lengo la kupata utajiri wa haraka kwa kudhani utauza kwa malaki ya pesa utaumia.
 
Feasibility study hasa upande wa masoko ni jambo la msingi sana kabla hujashawishiwa kuwekeza kwenye inayoitwa fursa.

Njia nyepesi ya kufanya hii study ni kujiuliza basic questions yafuatayo.

1. Je, wewe na familia yako ni walaji wa sungura?

2. If yes, mara ya mwisho umekula sungura lini?

3. Katika kipindi cha mwezi mmoja, unakula sungura mara ngapi kama kitoweo?

4. Jirani zako ninwalaji wa sungura?

5. Wanakula sungura kiasi gan kwa mwezi.

Mteja wa Kwanza wa bidhaa ni wewe na familia yako. Mteja wa pili ni majirani wanaokuzunguka.
Mteja wa watu ni ndugu wa karibu.

Ukishawamudu hawa nenda kwa wateja wa maduka na super markets.

Ukiona unashawishiwa kufanya biashara ambayo wewe na jirani zako sio wateja, usitegemee kupata wateja sokoni.

Swala la pili. Kuna dhana mbili za biashara za ufugaji kwa sasa, dhana ya kwanza na B2B..business to business....au biashara toka kwa mfugaji kwenda kwa mfugaji. Hii inalipa zaidi, na imejikita kwenye kuuza mbegu zaidi ili mwingine akafuge. Bidhaa zinazoangukia kwenye kundi hili ni ile mifugo inayofugwa kwaajili ya mapambo au isiyo na mzubguko mkubwa sana sokoni. Mfano bata mzinga, kanga, bukini, kware, hata sungura wanaangukia kwenye kundi hili.

Wengi wanaofanya biashara katika dhana hii, wamejikita kutangaza kuuza mbegu na kuhimiza ujasiriamali. Mf. Kuna mkulima anapromote zaidi kilimo cha papai, ila yeye biashara yake si kuuza papai bali kuuza miche. Shamban kwake hana papai hata moja analoweza peleka sokoni kwani anaelewa risks za kulima papai nyingi bila kuwa na mteja ..huaribika kirahisi.

Dhana ya pili ya biashara ya kilimo ni B2C..business to customers...(toka kwa mfugaji kwenda kwa mlaji)...hii ndio yenye demand kubwa zaidi, kwan bidhaa inayozalishwa hapa ni ile yenye demand sokoni kwa walaji. Mfano kuku wa kisasa/kienyeji. Mahindi, ,haya yanalika moja kwa moja na mteja.

Nachoweza washauri ndugu zangu ni kufanya feasibility kabla ya kuingia katika uwekezaji wa aina yoyote.

NB.
Maoni yangu yanalengo la kuelimisha na hayana uhusiano na hoja za mleta mada.
Umesema vizuri. Sikuhizi kuna wateja wanataka vitu specific. Tunaona pork center zikianzishwa, juice bar, capuccino brands. Akifanya utafiti wa kitaalamu anaweza kuja na kitu.

Pia tunahitaji watu wa kuongeza thamani na hii ni biashara nzuri. Kwa mfano kwenye pilipili tunaona wanaonunua wanatengeneza sause, au wanaonunua papai tamu zile ndogondogo wakatengeza Jam. Na usindikaji wa bidhaa mbali mbali ikiwemo, maziwa na matunda kutoa bidhaa mbali mbali
 
Naona mitaani na maeneo ya mijumuiko watu huuza mishkaki na supu mbalimbali mfano utakuta watu wamejazana wakisubiri hashua za mbuzi au za mzee ng'ombe au supu za mapupu na makongoro huwa najiuliza hivi nikianzisha kasehemu maalum kwa ajili ya sungura berbeque na supu za sungura pekee hivi kweli kwa kasi ya ulaji nyama ya wabongo hivi siwezi pata soko kweli wajameni?.
 
Yaan hawa viumbe siku moja ntaja wafuga na kuuza ni fursa kubwa ukiwa na mawazo mapana na capital kubwa. Utaanzisha kitu wengine wafate. Bonge moja la farm kfc sungura
 
Feasibility study hasa upande wa masoko ni jambo la msingi sana kabla hujashawishiwa kuwekeza kwenye inayoitwa fursa.

Njia nyepesi ya kufanya hii study ni kujiuliza basic questions yafuatayo.

1. Je, wewe na familia yako ni walaji wa sungura?

2. If yes, mara ya mwisho umekula sungura lini?

3. Katika kipindi cha mwezi mmoja, unakula sungura mara ngapi kama kitoweo?

4. Jirani zako ninwalaji wa sungura?

5. Wanakula sungura kiasi gan kwa mwezi.

Mteja wa Kwanza wa bidhaa ni wewe na familia yako. Mteja wa pili ni majirani wanaokuzunguka.
Mteja wa watu ni ndugu wa karibu.

Ukishawamudu hawa nenda kwa wateja wa maduka na super markets.

Ukiona unashawishiwa kufanya biashara ambayo wewe na jirani zako sio wateja, usitegemee kupata wateja sokoni.

Swala la pili. Kuna dhana mbili za biashara za ufugaji kwa sasa, dhana ya kwanza na B2B..business to business....au biashara toka kwa mfugaji kwenda kwa mfugaji. Hii inalipa zaidi, na imejikita kwenye kuuza mbegu zaidi ili mwingine akafuge. Bidhaa zinazoangukia kwenye kundi hili ni ile mifugo inayofugwa kwaajili ya mapambo au isiyo na mzubguko mkubwa sana sokoni. Mfano bata mzinga, kanga, bukini, kware, hata sungura wanaangukia kwenye kundi hili.

Wengi wanaofanya biashara katika dhana hii, wamejikita kutangaza kuuza mbegu na kuhimiza ujasiriamali. Mf. Kuna mkulima anapromote zaidi kilimo cha papai, ila yeye biashara yake si kuuza papai bali kuuza miche. Shamban kwake hana papai hata moja analoweza peleka sokoni kwani anaelewa risks za kulima papai nyingi bila kuwa na mteja ..huaribika kirahisi.

Dhana ya pili ya biashara ya kilimo ni B2C..business to customers...(toka kwa mfugaji kwenda kwa mlaji)...hii ndio yenye demand kubwa zaidi, kwan bidhaa inayozalishwa hapa ni ile yenye demand sokoni kwa walaji. Mfano kuku wa kisasa/kienyeji. Mahindi, ,haya yanalika moja kwa moja na mteja.

Nachoweza washauri ndugu zangu ni kufanya feasibility kabla ya kuingia katika uwekezaji wa aina yoyote.

NB.
Maoni yangu yanalengo la kuelimisha na hayana uhusiano na hoja za mleta mada.
Mkuu yule jamaa w papai hana shamba ika anajisema egi anataka kubadili mtazamo wa kilimo cha papai Tanzania, kazi yake kupiga picha na mipapai ya watu wengine. Anakuuzia mche wateja utajua mwenyewe.

Binafsu nimejiuliza maswali kuhusu kilimo cha papai.

Je ni kwa kuasigani mapapai yanaliwa mitaani, jibu ni asilimia ndogo hivyo nachijua tahadhari.

Bora upande migomba kuliko mazao ya kushawishiwa na motivesheni speaker aka opportunist.
 
Yaan hawa viumbe siku moja ntaja wafuga na kuuza ni fursa kubwa ukiwa na mawazo mapana na capital kubwa.. Utaanzisha kitu wengine wafate.. Bonge moja la farm kfc sungura
Unafikiri we ndo n akili kuliko hata maprofesa wa SUA wanaojua hayo mambo kiundani ?
 
Naona mitaani na maeneo ya mijumuiko watu huuza mishkaki na supu mbalimbali mfano utakuta watu wamejazana wakisubiri hashua za mbuzi au za mzee ng'ombe au supu za mapupu na makongoro huwa najiuliza hivi nikianzisha kasehemu maalum kwa ajili ya sungura berbeque na supu za sungura pekee hivi kweli kwa kasi ya ulaji nyama ya wabongo hivi siwezi pata soko kweli wajameni?.
Cha kwa kwanza kabisa hutapata wateja wakiislamu maana huyo ni haramu hana kwato ispokuwa waislamu kama mimi tusiojali tuanakula kambale, sungura.

Pili huta pata wakrusto wenye mtazamo wa agano la kale.

Je utawauzia wapagani na wakristo wachache tu?

Biashara yako itanawiri kweli?

Nakushauri tafuta walipo wabena, wasafwa na wahehe kwa wingi anzisha bucha utatoboa, makabila mengine hawali sana hio nyama.
 
Kwa muislam asiyekula sungura basi itakuwa ni yeye binafsi lakini sheria haijazuia.
 
Feasibility study hasa upande wa masoko ni jambo la msingi sana kabla hujashawishiwa kuwekeza kwenye inayoitwa fursa.

Njia nyepesi ya kufanya hii study ni kujiuliza basic questions yafuatayo.

1. Je, wewe na familia yako ni walaji wa sungura?

2. If yes, mara ya mwisho umekula sungura lini?

3. Katika kipindi cha mwezi mmoja, unakula sungura mara ngapi kama kitoweo?

4. Jirani zako ninwalaji wa sungura?

5. Wanakula sungura kiasi gan kwa mwezi.

Mteja wa Kwanza wa bidhaa ni wewe na familia yako. Mteja wa pili ni majirani wanaokuzunguka.
Mteja wa watu ni ndugu wa karibu.

Ukishawamudu hawa nenda kwa wateja wa maduka na super markets.

Ukiona unashawishiwa kufanya biashara ambayo wewe na jirani zako sio wateja, usitegemee kupata wateja sokoni.

Swala la pili. Kuna dhana mbili za biashara za ufugaji kwa sasa, dhana ya kwanza na B2B..business to business....au biashara toka kwa mfugaji kwenda kwa mfugaji. Hii inalipa zaidi, na imejikita kwenye kuuza mbegu zaidi ili mwingine akafuge. Bidhaa zinazoangukia kwenye kundi hili ni ile mifugo inayofugwa kwaajili ya mapambo au isiyo na mzubguko mkubwa sana sokoni. Mfano bata mzinga, kanga, bukini, kware, hata sungura wanaangukia kwenye kundi hili.

Wengi wanaofanya biashara katika dhana hii, wamejikita kutangaza kuuza mbegu na kuhimiza ujasiriamali. Mf. Kuna mkulima anapromote zaidi kilimo cha papai, ila yeye biashara yake si kuuza papai bali kuuza miche. Shamban kwake hana papai hata moja analoweza peleka sokoni kwani anaelewa risks za kulima papai nyingi bila kuwa na mteja ..huaribika kirahisi.

Dhana ya pili ya biashara ya kilimo ni B2C..business to customers...(toka kwa mfugaji kwenda kwa mlaji)...hii ndio yenye demand kubwa zaidi, kwan bidhaa inayozalishwa hapa ni ile yenye demand sokoni kwa walaji. Mfano kuku wa kisasa/kienyeji. Mahindi, ,haya yanalika moja kwa moja na mteja.

Nachoweza washauri ndugu zangu ni kufanya feasibility kabla ya kuingia katika uwekezaji wa aina yoyote.

NB.
Maoni yangu yanalengo la kuelimisha na hayana uhusiano na hoja za mleta mada.
Nitakutafuta mkuu.
Nimeona kitu ktk maandishi yako.
 
Yaan hawa viumbe siku moja ntaja wafuga na kuuza ni fursa kubwa ukiwa na mawazo mapana na capital kubwa.. Utaanzisha kitu wengine wafate.. Bonge moja la farm kfc sungura
Market ni timing.....
wakati ww unawaza utafuga kuna wenzio wanafuga....
By the time unafuga utakuta supply inazidi demand....
be very carefully.....
soko ni maarifa
 
Feasibility study hasa upande wa masoko ni jambo la msingi sana kabla hujashawishiwa kuwekeza kwenye inayoitwa fursa.

Njia nyepesi ya kufanya hii study ni kujiuliza basic questions yafuatayo.

1. Je, wewe na familia yako ni walaji wa sungura?

2. If yes, mara ya mwisho umekula sungura lini?

3. Katika kipindi cha mwezi mmoja, unakula sungura mara ngapi kama kitoweo?

4. Jirani zako ninwalaji wa sungura?

5. Wanakula sungura kiasi gan kwa mwezi.

Mteja wa Kwanza wa bidhaa ni wewe na familia yako. Mteja wa pili ni majirani wanaokuzunguka.
Mteja wa watu ni ndugu wa karibu.

Ukishawamudu hawa nenda kwa wateja wa maduka na super markets.

Ukiona unashawishiwa kufanya biashara ambayo wewe na jirani zako sio wateja, usitegemee kupata wateja sokoni.

Swala la pili. Kuna dhana mbili za biashara za ufugaji kwa sasa, dhana ya kwanza na B2B..business to business....au biashara toka kwa mfugaji kwenda kwa mfugaji. Hii inalipa zaidi, na imejikita kwenye kuuza mbegu zaidi ili mwingine akafuge. Bidhaa zinazoangukia kwenye kundi hili ni ile mifugo inayofugwa kwaajili ya mapambo au isiyo na mzubguko mkubwa sana sokoni. Mfano bata mzinga, kanga, bukini, kware, hata sungura wanaangukia kwenye kundi hili.

Wengi wanaofanya biashara katika dhana hii, wamejikita kutangaza kuuza mbegu na kuhimiza ujasiriamali. Mf. Kuna mkulima anapromote zaidi kilimo cha papai, ila yeye biashara yake si kuuza papai bali kuuza miche. Shamban kwake hana papai hata moja analoweza peleka sokoni kwani anaelewa risks za kulima papai nyingi bila kuwa na mteja ..huaribika kirahisi.

Dhana ya pili ya biashara ya kilimo ni B2C..business to customers...(toka kwa mfugaji kwenda kwa mlaji)...hii ndio yenye demand kubwa zaidi, kwan bidhaa inayozalishwa hapa ni ile yenye demand sokoni kwa walaji. Mfano kuku wa kisasa/kienyeji. Mahindi, ,haya yanalika moja kwa moja na mteja.

Nachoweza washauri ndugu zangu ni kufanya feasibility kabla ya kuingia katika uwekezaji wa aina yoyote.

NB.
Maoni yangu yanalengo la kuelimisha na hayana uhusiano na hoja za mleta mada.
Elimu tosha
 
Elimu nzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom