Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wakuu poleni na pilika za kutwa Hongereni sana kwa kumaliza siku salama, Naomba kuuliza ni wapi Kuna mashamba ya Bei rahisi yanayostawi kahawa na migomba? Ambayo hayana ukame sana Natamani...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Jamani nombeni kujua mise ikikamuliwa mafuta kwa gunia Moja inatoa mafuta kiasi gani gunia la kilo 120
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MBUNGE PROF. SOSPETER MUHONGO ASISITIZA KILIMO NI BIASHARA KUBWA DUNIANI Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Mhe. Prof Sospeter Muhongo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
AHADI YA MHESHIMIWA RAIS YATEKELEZWA - SERIKALI KUFUFUA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KWENYE BONDE LA BUGWEMA Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokea na kukubali ombi la kufufua kilimo cha Umwagiliaji...
2 Reactions
1 Replies
801 Views
Wataalamu wanafikiri hivyo. Zafarani iko njiani kutoka Pampore huko Kashmir kuelekea kaskazini-mashariki kama NECTAR katika mradi kabambe ambao umefanikiwa kukuza viungo huko Yangyang kusini mwa...
3 Reactions
3 Replies
846 Views
Hapa Tanzania kilimo cha Basil, Mint, Parsley, Sage, oregano, thyme, rosemary, mbegu za chia, kinaweza kulimwa katika mikoa ipi, nimeahidiwa soko kubwa lakini mpaka sasa sijafahamu hiki kilimo...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Poleni na majukumu wakuu, nilikua nataka mnijuze ABC za kilimo cha mchaichai hapa Tanzania hasa nilitaka kujua sehem ambazo hili zao linapatikana kwa wingi au sehem ambazo linastawi vizuri...
2 Reactions
53 Replies
32K Views
Dragon Farming in Kenya,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kipindi hiki cha mvua, unaweza otesha Dragon Fruits na ukapata matunda baada ya mwaka. Ukiotesha Dragon kutumia cutti gs au kijiti utapata matunda ndani ya miezi 12 na ukitotesga mche utokano na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Heshima kwanza, Wakuu, nina shamba eneo la Makaa Yamu, Kirua Vunjo, wilaya ya Moshi vijijini lenye ukubwa wa ekari kumi na sita 16 (limepimwa na hati miliki) Shamba lipo kilometer nne kutoka...
4 Reactions
82 Replies
87K Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ninahitaji msaada wa kupata connection ya mtu au kampuni ambayo wanahusika na kusafirisha wanyama. Nina mbwa wangu mdogo GSD ninahitaji...
0 Reactions
9 Replies
814 Views
Habari wanajamii forum nahitajo Vifaranga vya kuku aina ya kuroiler kuanzia wiki nne nipo singida
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro alishiriki zoezi la ugawaji wa Miche ya Kahawa lililofanyika Octoba 4, 2023 katika Kijiji cha Kashinga - Nyakisasa. Miche hii ni matokeo...
1 Reactions
1 Replies
694 Views
Watu wengi tunawachukulia poaa sana Wahindi,kisa wanaishi mjiji.Ila ukweli ni kwamba wahindi wamewekeza sana kwenye Aridhi,Wana mashamba makubwa na ya kutisha. Binafisi nimetembelea Wahindi kama...
0 Reactions
3 Replies
727 Views
MBUNGE ZAYTUN SWAI: PROGRAMU ENDELEVU YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI ITAWASAIDIA SANA AKINA MAMA Mhe. Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha tarehe 11 Oktoba, 2023 ameshiriki...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Habari wakuu, Nahitaji mbegu ya maharage aina ya fiwi nataka nijaribu,ila nahitaji mbegu inayozaa sana,achana na zile za Hedaru,kama unafahamu naipaje[wapi],usisite kuwasiliana na mimi. Asante sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wataalamu na wazoefu mliomo humu, naombeni ushauri wenu. Katika miche zaidi ya ishirini, miwili imeonesha kutokuwa sawa: 1. Kasi ya ukuaji imepungua, kama inataka kudumaa 2. Majani...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Nyakati tulizo nazo sasa ni za kilimo cha kisasa. Kilimo cha technology. Nyakati hizi ni za kutumia viuatilifu na teknolojia zingine. Hebu jiulize, ni vijana wangapi wanaweza gharama hii? Yaani...
0 Reactions
2 Replies
538 Views
NI mbegu ipi ya mahindi nikiitumia naweza kupata matunda Bora? Ushauri wenu ni muhimu Sana, #Elimu ya kilimo
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Karibu Nehemia One Pvt Co Ltd. Kampuni yenye wataalamu wenye uzoefu wa masoko na uzalishaji wa mazao ya kilimo. Kampuni inapenda kukukaribisha kwenye fursa ya uzalishaji wa MDALASINI...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom