Naomba kama kuna mwanaJF anajua formular ya kutengeneza/kuchanganya Broiler, Layers, na Chick Mash

Joack

Member
Jul 2, 2012
31
7
Habari wnana JF,
Naomba kama kuna mwanaJF anajua fomular ya kutengeneza/kuchanganya Broiler, Layers, na Chick Mash anisaidie.


Nitashukuru sana
 
Mdau formular nilikuwa nayo lakini nimekuta kiwango cha vichanganishio kimefutika na nimebaki na majina tu ya vitu vinavyohitajika. Ebu chukua majina haya wakati najitahidi kutafuta kila kitu kinawekwa kiasi gani:
Paraza
Mtama
Ngano
Pumba
Alizeti
Pamba
Dagaa
Damu
DCP
Premix
Chumvi
Lysine
Methonine
Mifupa
 
Pitia thread ya ufugaji wa kuku wa kisasa kuna wadau wameweka formula kule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom