Je huu mradi unaweza kunitoa kimasomaso? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu mradi unaweza kunitoa kimasomaso?

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Kig, Sep 4, 2012.

 1. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kwenye kijiji ninaoishi bei ya trei moja la mayai ni kati ya Tsh 6,000/= hadi 8000/= kutegemeana na msimu. Nimepata wazo nianzishe mradi wa kufuga kuku wa mayai (kuku wa kisasa). Mtaji wangu kiduchu/kidogo unatosha kuanza na kuku 600. Huduma ya vyakula vya kuku na dawa zinapatikana karibu na ninakoishi. Kuhusu mahali pa kufugia kuku, nategemea nibadili matumizi ya jengo ambalo ni jiko liwe banda kwa ajili ya kuku. Nawaombeni na kuwasihi sana mlio na uzoefu wa hii biashara tafadhalini mnipe ushauri kama itaweza kunitoa kimasomaso toka kwenye ukata wa kipato. Maisha magumu balaa!!!!!! Natanguliza shukrani kwa michango yenu ya mawazo. Asante.
   
 2. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  na soko umeshapata?
   
 3. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,973
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  kaka utakulipa sana,,we anza,ila usianze na kuku wengi,anza na kama 100 and then after 1 monthly ongeza 200 baada ya mwezi ongeza mia ,,then 200,,,,,,,watakulipa sana,,
   
 4. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Kig

  Batch za 300 lay hens x 2 .... in an interval of 2 month

  do not temper with feeding management ..... you must be involved personally and learn vet ..... try to get someone trustworthy and honest to work for you especially with the poultry feed and when the layers starts to drop eggs ... getting someone trustworthy and honest is the only thing that is hard and you should pray to God

  be persistent for only 6 months and expect to start to excell slowly

  after trays of eggs are in good distribution channel and you are sure the business is good .... think of an expansion plan ..... aquire your own land and get finance to construct good hen pens (chicken houses) for at least 2,000 hens

  More over get a small premise at the most busiest and central market and open eggs wholesale point .... with your eggs at your farm then all layers farmers will also bring their eggs at your sales point at a margin price as this is a hot selling point

  go go go brother
   
 5. J

  Jonas Mpango Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nami naona uanze na kuku angalau na kuku 300. Mimi nimeishaanza. Nao mia tatu. Huu ni mwezi wa tatu. Nafuga pia kuku wa nyama wa kisasa.
   
 6. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Mkuu unafugia wapi kuku ... tubadilishane mawazo katika thread hii ... itamsaidia pia Kig .... kuku nina broiler project ya 1,500 yenye batch tano za 300 after every 3 weeks difference ....

  challenge kubwa ni kutunza kuku kufikia umri wa kuku wenye ubora unaoaminika kuwa kuku wanakuwa wamekomaa vizuri around six and more weeks ... soko ni kubwa sana .... pia kuna umuhimu wa ku-process kuku ..... slaughter facility na kufanya packaging
   
 7. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160

  Nashukuru kwa ushauri wako mzuri kuanzia kufuga na hatimaye kufanya biashara ya kuuza mayai.
   
 8. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160

  Tathmini ya haraka haraka inaonyesha idadi ya walaji wa mayai ni kubwa.
  Ndio maana walau bei ipo juu
   
Loading...