Pata asali mbichi kwa afya yako

dazu

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
365
76
Asali mbichi inapatikana. Usinunue iliyochakachuliwa. imefungwa kwenye containers za lita 1, 5, na 20. Kama unahitaji piga simu. 0713580690
 
Maelezo hajatosheleza kabisa hebu weka maelezo sawa tukutafute ni nyuki wadogo au wakubwa shilingi ngapi
 
...hiyo Asali tamu?...ooh, sorry...bei na eneo gani wapatikana?
 
...hiyo Asali tamu?...ooh, sorry...bei na eneo gani wapatikana?

Ni asali isiyochakachuliwa, inapatikana Dar. Kuna ujazo mbalimbali, piga simu niliyotoa utapata maelezo zaidi.
 
Bei: Nyuki wakubwa. Lita 1 - Tshs. 12,000/- Lita 5 - 57,000/-. Lita 20 - 220,000/-
Nyuki wadogo Lita 1 - Tshs. 25,000/- Lita 5 - 120,000/- Lita 20 - 470,000/-
 
Asante kwa maelezo hatunabudi kukupigia simu maana ofisi hutaki kusema iko wapi.
 
Bei mbaya sana, lakini ndio biashara, halazimishwi mtu.
 
NA Khassa ukiangalia haya malaki manne na matano! ila kama ni asali ya ukweli si mbaya sana !

Yes, kwa upande mwingine, faida ya asali safi ni kubwa kuliko bei yoyote ile, mradi iwe haijachakachuliwa tu, tukiihitaji tutamtafuta, mie kwa sasa bado nnayo asali ya Isuna Singida, niliipata kwa bei poa na ni nzuri sana, nnayo mwaka sasa na haijaganda. Za kuchakachuwa ukiziweka kidogo zinaganda sukari. Nilinunua porini kama kilomita 10 kutoka Isuna kuingia mbugani, mwaka jana, madumu matano ya lita tano tano kwa elfu kumi kila moja. Na yule mrina asali akanambia nimempunguzia mzigo mkubwa maana kuifikisha barabarani kuiuza ilikuwa ni kazi kubwa kwake.

Labda niliipata rahisi, kwa kuwa ilikuwa ni mbali sana na jijini.
 
Yes, kwa upande mwingine, faida ya asali safi ni kubwa kuliko bei yoyote ile, mradi iwe haijachakachuliwa tu, tukiihitaji tutamtafuta, mie kwa sasa bado nnayo asali ya Isuna Singida, niliipata kwa bei poa na ni nzuri sana, nnayo mwaka sasa na haijaganda. Za kuchakachuwa ukiziweka kidogo zinaganda sukari. Nilinunua porini kama kilomita 10 kutoka Isuna kuingia mbugani, mwaka jana, madumu matano ya lita tano tano kwa elfu kumi kila moja. Na yule mrina asali akanambia nimempunguzia mzigo mkuwa maana kuifikisha barabarani kuiuza ilikuwa ni kazi kubwa kwake.

Labda niliipata rahisi, kwa kuwa ilikuwa ni mbali sana na jijini.

Aisee, kupata asali safi siku hizi ni kaazi kweli kweli, una bakhti wewe ulieipata jikoni, siku nyingine ukienda please nijulishe nikuagize na mie, maana natumia sana asali, kama ilivoelekezwa katika Al Kitaab, " NA matumboni mwao hutoka kinywaji ambacho ni manufaa kwa watu" aya haikubagua dini ikasema "manufaa kwa watu" ... Al Israa Sura ya wana wa IZRAELI.
 
InshaAllah nikibahatika kwenda ntakujulisha.
 
NA Khassa ukiangalia haya malaki manne na matano! ila kama ni asali ya ukweli si mbaya sana !

Hii ni asali YA UKWELI sana. Ni bora kununua kilichobora kwa bei halisi kuliko kilichochakachuliwa kwa bei iliyochakachuliwa. Asali hii ni kwa wale wanaojali VIWANGO.
 
Hii ni asali YA UKWELI sana. Ni bora kununua kilichobora kwa bei halisi kuliko kilichochakachuliwa kwa bei iliyochakachuliwa. Asali hii ni kwa wale wanaojali VIWANGO.
Asante kwa maelezo lakn hebu badilisha hiyo avatar yako mie inanitisha.Inanifanya hata nisiiamini hiyo asali yako...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom