Naitaji kuku wa kienyeji kwa ajiri ya kufuga

DON YAN

Member
Jun 12, 2012
21
6
wajameni nisaidieni wapi nitapata kuku wa kiajeji kwa ajiri ya kufuga ,mfano kuchi nipatieni na gharama naitaji mitetea kumi na jogoo mmoja.natanguliza shukrani but napatikana Dar .
 
Kwa vifaranga ni rahisi kupata, mm ninao vifaranga wa wk 4 sasa bei 2500=
Aina: mchanganyiko kuchi+rhode red

Karibu
 
Kwa vifaranga ni rahisi kupata, mm ninao vifaranga wa wk 4 sasa bei 2500=
Aina: mchanganyiko kuchi+rhode red Karibu

Naweza kupata ambao wanakaribia umri wa kutaga? wakubwa vijana ambao hawajataga
 
Ebana naweza pata hao vifaranga wa wiki 4 wiki ijayo RETI just nipe siku.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom