Naomba kama kuna mwanaJF anajua formular ya kutengeneza/kuchanganya Broiler, Layers, na Chick Mash | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kama kuna mwanaJF anajua formular ya kutengeneza/kuchanganya Broiler, Layers, na Chick Mash

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Joack, Sep 11, 2012.

 1. J

  Joack Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=2]Habari wana Jamii Forum,
  Naomba msaada kama kuna wanaojua au wenye uzoefu wa kutengeneza chakula cha kuku, anifundishe na kwa kuwasaidia wengine formula ya kutengeneza au kuchanganya chakula cha kuku aina ya Broiler Mash, Layers Mash, Broiler Starter/Chick Mash. Pia naomba ushauri wa wapi malighafi naweza kuzipata kwa gharama nzuri mbali na sio kwa walanguzi. Je chakula hiki ni kizuri naomba ushauri pia namna ya kuchanganya.
  [/h]
  Nitashukuru sana.
   
Loading...