Ng'ombe wa Maziwa anahitajika URGENTLY | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ng'ombe wa Maziwa anahitajika URGENTLY

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by BMW, Sep 14, 2012.

 1. B

  BMW Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta Ng'ombe wa maziwa prefarably anayefugiwa ndani ya Pwani (Dar, Kibaha, Bagamoyo) ambaye amezoea hali ya hewa hiyo. Mwenye mimba, na asiwe mzee.

  Mwenye tips anistue au abandike contacts hapa tafadhari
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ukikosa jaribu kwenda Ruvu Ranchi
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Toa offer ili kina kafumu waone kama inalipa.
   
 4. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Ni kweli atoe ofa mana kazi ya kwenda kuchungulia mazizi ya watu si ndogo, tena aseme na breed aitakayo pamoja na umri wa mimba, capacity ya maziwa aitakayo, na idadi ya ngombe niunganishe dots...
   
Loading...